Usishau kupitia hapa utajifunza kitu

Usishau kupitia hapa utajifunza kitu

Avith almachius

Senior Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
168
Reaction score
172
20251213_164947.jpg
 
Watu wapo depressed Sana na sehemu pekee ya kujiliwaza ni mitandaoni.

Mfano ukisoma alichoandika Diva na alichoandika huyo MAMA.

Unaona huyo mama she is too depressed .

Diva hizo POST zake huwa anaziweka kimkakati kupata Engagement n.k

Na ndo Maisha anayoyapenda Ila kuna watu unakuta wanamtukana Sana mpaka unaona kuwa hawapo sawa.

MTU haumpendi Ila unamfatilia na unaingia katika PAGE yake everyday na kutukana sasa mjinga ni nani hapo .?

Ukiona MTU anatukana watu mitandaoni hasa hawa celebrity ujue hayupo sawa upstair.

Wao hayo matusi ndo wanayapenda yanawapa Engagement like na Followers.
 
Dr haya land
vipi umerudi?
 
Back
Top Bottom