Its true mumy
Its touching for real!
Hakuna kitu napenda kama pale inapotokea ugomvi either wa kimapenz wa kindugu kumaliza tofaut kwa haraka sana na hua napenda kujishusha kwa maana mbili kua chini au kukaa kimya kabisa na nikiona mtu haelewi hua naona n bora kumwambia yale ya moyoni kwa utaratibu inanifanya najiskia amani sana pole sana Khantwe
Leo umekua kama piritoni ahhahhhhhhha
Uwiiii asa mimi niko na ugomvi na sister angu daaa mtata kinoma ila hakawii kulia huyo ukikosana naye anaweka vitu kwenye koo yan hasahau na ukimuomba msamaha anakausha so nashindwaga kumuelewa
Hahhahaha leo mdogo choka mbaya