Jiwe alikuwa maskini na kukulia kwenye ufukara kapewa sasa nafasi muangalie alivyo na ROHO MBAYA MUUAJI NA MTESI.bila kukupesa watu masikini wakutupwa wakipewa nafasi huwa wanafanya maajabu makubwa sana katika taasisi na nyanja mbalimbali, hata mashuleni fuatilia vizuri utaona mayatima wanavyoperform vizuri sana na wana nidhamu ya juu sana....
Naona umefananisha umasikini na ushamba kwasababu ukimsomesha mtu mshamba na akajanjaruka, ataanza kweli kuwa na tabia za ajabu, lakini ukimsomesha masikini atakulipa fadhira na ataweka mazingira yawewe kuendelea kumuamini....
Nimejibu kwa kuzingatia muktadha wa mada, ila najua unaweza kuwa umemaanisha vitu vingine kabisa kama fasihi inavyokupa uwanda mpana......
Noted ebu muone JpmNimesikia,nimecheka mpaka mbavu zimeuma,
Umeongea Mengi,ila na uongo umeweka mwingi,
Kwanza hakuna mtu anazaliwa maskini,au tajiri,wote tunazaliwa tukiwa hatuna kitu,hata ukizaliwa kwenye familia ya Raisi,haimaniishi hizo mali ni zako.
Pili umaskini sio kilema,tunazaliwa maskini,lakini baadae unaweza kuwa tajiri.
Nikuulize Diamond alizaliwa maskini,sasa hv na ukwasi wote alionao Bado ni maskini?
Kinachomfsnya mtu maskini awe natabia katili,kijicho,kupenda kuona wengine wakiumia,ni msongo wa mawazo tu,hujiona yeye hana kitu,kwahiyo akiona wengine wasio na kitu,huona faraja,lakini sio wote,wapo watu maskini,hawana kitu,na Wana tabia njema sana,wanachapa kazi ili siku moja watoke kwenye umaskini.
Wapo marajiri wengi tu wenye tabia za kishetani,alikuwepo kada mmoja wa ccm,alikuwa na kiwanda Cha kutengeneza ARV,akawa anatengrneza ARV feki na kuziuza,unajua ameua watu wangapi.
Mkuu nimecheka mpaka nimepaliwa vodka ninayokunywa hapa."Masikini akipata matako hulia mbwata."
Hivi muhenga aliyetunga methali hii alikuwa anatafuta nini kwenye matako ya masikini?
Ila kweli maskin wentu tu walalamishi wachonganish wanafiki kila linalotokea kwetu tunadhan kuna mtu katusababishia hatupendi kukili kua ni makosa yetu ukifatilia tabi tabi Za waafrica wengi ndo utajua ila ukweli mchungu na wanaopinga bandiko lako yawezekana ni umo umoHsahahahhaha
Japo sijapendezwa lakini huo ndio ukweli
Akhsante mkuu.[emoji23]pole sana
We ndo ulikuwa wa kumshauri mtoa mada kabla hajaandika. Water Rodney kwenye How Europe underdeveloped Africa, kiasili wote tulikuwa Hali sawa.Wewe ndio umeongea kile ambacho kilikuwa kichwani mwangu kwa wepesi zaidi.
Mtu mwenye rich spirit hata kama hana anakuwa hana tatizo na mtu. Na akiwa nacho ndio kabisaa yani wote mtafurahi. Wako positive mda wote!
Ila wenye roho ya kimaskini ndio wanakuwaga na attitude ya kilimbukeni tu. Hawa ndio wale anawaza apate ili awakomeshe akina flani..Ata strive kupata recognition akipata nafasi na sio kwa nia ya kusaidia kuwainua walio karibu nae bali kuwa oppress ili awe ni mtu wa kutukuzwa, ili akusaidie ni lazma umsujudie na msaada unaambatana na matangazo.Husda na choyo ndio vimeijaza mioyo ya hawa watu.
So kwangu tafsiri ya umaskini ina stem kwenye roho ya mtu. Haijalishi una hela au hauna ila umaskini upo rohoni. Binafsi naweza kuwa sina kitu ila siji count kama maskini sababu najua i have a rich heart na nikiwa nacho im good at giving a hand to others sibaguagi watu.
Tru dat bro!We ndo ulikuwa wa kumshauri mtoa mada kabla hajaandika. Water Rodney kwenye How Europe underdeveloped Africa, kiasili wote tulikuwa Hali sawa.
Najiweka kwa matajiri maana ukijinenea ufukara nature Ina respond ulichotaka so I'm rich and striving hard, nauchukia umaskini wa kimwili n kiroho pia always nawaza yaliyo mema, hata kuchukia wengine ni sadists behavior na ni roho ya kimaskini piaWewe unajiweka kwenye kundi la Matajiri?.. Yaani hao masikini wewe umezidi Nini?
SAFI.Najiweka kwa matajiri maana ukijinenea ufukara nature Ina respond ulichotaka so I'm rich and striving hard, nauchukia umaskini wa kimwili n kiroho pia always nawaza yaliyo mema, hata kuchukia wengine ni sadists behavior na ni roho ya kimaskini pia
Jamaa kachemka huyo, anataka kusema waliozaliwa na hekima, busara na ustaarabu wote wametokea ktk familia za kitajiri pekee.Tafsiri ya maskini hajaipambanua vizuri sababu tabia alizoainisha zina reflect limbukeni by 100% ila umaskini unaanzia katika nafsi!
Wapo watu ni millionaires ila ndugu zao wanateseka na maisha ambayo ni very basic!
Ukiniuliza tafsiri ya mtu maskini nitakwambia ni yule mwenye roho ya choyo na husda! Huyu hata akiwa billionaire huwezi ona impact yake kwenye jamii ila mwenye roho ya kitajiri ni kinyume impact huanzia tokea kwenye level ya familia,ukoo mpaka kitaifa.
Kajisahau sana bila ya kujua wapo matajiri wa roho walioumbwa na Mungu ambapo wakiwa nacho chochote lazima wawagawie maskini na ndiyo furaha yao la sivyo hata hawaenjoy maisha ya kujilimbikizia mali na vitu vya kifahari hapa duniani.Wewe ndio umeongea kile ambacho kilikuwa kichwani mwangu kwa wepesi zaidi.
Mtu mwenye rich spirit hata kama hana anakuwa hana tatizo na mtu. Na akiwa nacho ndio kabisaa yani wote mtafurahi. Wako positive mda wote!
Ila wenye roho ya kimaskini ndio wanakuwaga na attitude ya kilimbukeni tu. Hawa ndio wale anawaza apate ili awakomeshe akina flani..Ata strive kupata recognition akipata nafasi na sio kwa nia ya kusaidia kuwainua walio karibu nae bali kuwa oppress ili awe ni mtu wa kutukuzwa, ili akusaidie ni lazma umsujudie na msaada unaambatana na matangazo.Husda na choyo ndio vimeijaza mioyo ya hawa watu.
So kwangu tafsiri ya umaskini ina stem kwenye roho ya mtu. Haijalishi una hela au hauna ila umaskini upo rohoni. Binafsi naweza kuwa sina kitu ila siji count kama maskini sababu najua i have a rich heart na nikiwa nacho im good at giving a hand to others sibaguagi watu.
JF kuna waigizaji we acha tu, hapa kila mtu atakuwa tajiri, sawa na mada iwageukie kuwasifia waliosoma elimu dunia basi utashangaa kila mtu atayeandika ujumbe humu ataishia kujinadi ni msomi tu hahaaaa....Wewe unajiweka kwenye kundi la Matajiri?.. Yaani hao masikini wewe umezidi Nini?