The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,336
- 3,236
Wanawake Mungu anawaona, yaani pamoja na hustle zote hizi unaniambia kirahisi rahisi tuu tuma na ya kutolea,
shubamit
😳View attachment 1103516
Wanawake Mungu anawaona, yaani pamoja na hustle zote hizi unaniambia kirahisi rahisi tuu tuma na ya kutolea,
shubamit
Mimi nabisha. Hakuna mpenzi anayesema tuma na ya kutolea labda Kama ni mke na unatuma pesa kwaajili ya kitu Fulani. Kama ni pesa tu umepewa huwezi sema tuma na ya kutoa.Mkuu, kwanza pole sana!
Ila pia nikuulize, Hutu unaemtumia ni mke au mchumba au demu tu wa kawaida?
Kwa hiyo unamaanisha huyu wa mleta mada atakuwa wale waleMimi nabisha. Hakuna mpenzi anayesema tuma na ya kutolea labda Kama ni mke na unatuma pesa kwaajili ya kitu Fulani. Kama ni pesa tu umepewa huwezi sema tuma na ya kutoa.
Story za vijiweni tu hizi.Kwa hiyo unamaanisha huyu wa mleta mada atakuwa wale wale
Ohhh! Basi nazipuuzaStory za vijiweni tu hizi.
Kwani wewe ushawahi kukutana na situation Kama hiyo?Ohhh! Basi nazipuuza
Nlishawahi but it was from my little brother, a business partner, a friend not from mpenziKwani wewe ushawahi kukutana na situation Kama hiyo?
Asante sana 😀Nlishawahi but it was from my little brother, a business partner, a friend not from mpenzi
Mbona umefurahi tena???Asante sana 😀
Kwasababu huyo uliyemtaja Ni mwanaume, mada inalenga wanawake wenye tabia hiyo. Nimegundua kuwa haina jinsiaMbona umefurahi tena???
Teh achana na hawa boys boys kero tupuHivi wanaume mbona hiyo sentensi huwa tunailalamikia sana hii inaonyesha ni jinsi gani hizo hela tunatumaga kishingo upande sasa kama mtu umeweza kumtumia elfu 50 unashindwa nini kuunganisha na elfu 5 tu ya kutolea ili uepuke hizo kelele za kuambiwa hivyo? Hauwezi si utafute wanawake ambao hawaombi hela au ukikosa kabisa si ubaki tu single?
I know what you mean, I know why laughedKwasababu huyo uliyemtaja Ni mwanaume, mada inalenga wanawake wenye tabia hiyo. Nimegundua kuwa haina jinsia
😂I know what you mean, I know why laughed
Hilo sio jembe, hapo ni kutindua zegeNaona jembe limekubali kinoma.tatizo lako unakaza jembe ndo maana unaumia.
Ila usijali ukishavuna utasahau machungu yote.