Usirudie tena...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Watu watatu ambao walikuwa ni marafiki walikuwa wamelewa sana.Ili kurudi makwao,wakaamua kukodi bajaji.Dereva wa bajaji akataka kutengeneza faida ya harakaharaka.Mambo yalikuwa hivi:

Dereva: Jamani wote mmeshapanda tuondoke?
Jamaa wote: (kwa sauti ya kilevi) Ndio

Dereva akawasha bajaji na kuiacha ikiunguruma palepale kwa muda kama wa dakika mbili halafu akaizima.

Dereva: Jamani tumeshafika
Jamaa 1: Chukua nauli yako kijana.(Akampa dereva buku ishirini)
Jamaa 2: Asante kijana,na kesho tena!
Jamaa 3🙁 Akamtandika kibao kikali dereva) Halafu usirudie kuendesha bajaji yako kwa mwendo wa kasi siku nyingine...utatuua raiawema.Ebo!
 
Ha ha ha! Nilidhani watatu kastukia? Dah! kweli ulevi noma!!!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Dah, majamaa kweli iliwakolea, sipati picha wqlivyoshuka baadae ilikuwaje!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…