Usirogwe ukaoa nyumba ndogo

Usirogwe ukaoa nyumba ndogo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,271
Reaction score
829,303
Usaliti kwenye ndoa imekuwa kitu cha kawaida mno, Wapo wengi mno wamepangishia vimada chumba, au nyumba nzima sasa hufikia penzi likanoga mpaka watu wakataliki wale zao au waume zao wa ndoa ili akaoe au akaolewe na nyumba ndogo, lakini bahati mbaya hukuta maumivu kwakuwa yule alikuwa ni mwizi na anajua kwa vyovyote ukiingia kwake hatakubali naye aibiwe...mara nyingi hutokea ugomvi na kutokuelewana mara kwa mara mifano ipo mingi sana lakini inatosha tu kusema iache nyumba ndogo ibaki kuwa nyumba ndogo kwakuwa Once a cheater always a cheater
Kuna nyumba ndogo nyiiingi zinahudumiwa na wapenzi zaidi ya wa3, utakuta kodi kalipa huyu, sofa kanunua yule, friji kanunua mwingine nk nk? nk na wote hamjuani
 
na nani
aliyekuambia nyumba ndogo inahitaji ndoa? Eti kiranja wao Zahra White mnahitaji ndoa au mahela meeengi au kiduchu kujikimu kimaisha?
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo kwa wale wanaoruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja anapooa wa kwanza and then anafuta nyumba ndogo na baadae anamuoa ina maana huyo mke wa pili nae anaingia kwenye "hilo li mfumo unalolielezea?"
 
Usaliti kwenye ndoa imekuwa kitu cha kawaida mno, Wapo wengi mno wamepangishia vimada chumba, au nyumba nzima sasa hufikia penzi likanoga mpaka watu wakataliki wale zao au waume zao wa ndoa ili akaoe au akaolewe na nyumba ndogo, lakini bahati mbaya hukuta maumivu kwakuwa yule alikuwa ni mwizi na anajua kwa vyovyote ukiingia kwake hatakubali naye aibiwe...mara nyingi hutokea ugomvi na kutokuelewana mara kwa mara mifano ipo mingi sana lakini inatosha tu kusema iache nyumba ndogo ibaki kuwa nyumba ndogo kwakuwa Once a cheater always a cheater
Kuna nyumba ndogo nyiiingi zinahudumiwa na wapenzi zaidi ya wa3, utakuta kodi kalipa huyu, sofa kanunua yule, friji kanunua mwingine nk nk? nk na wote hamjuani

nikweli
 
...haya kwa wale VIDUMU na nyie MNAOMILIKI VIDUMU...msg sent!
 
kwa hiyo kwa wale wanaoruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja anapooa wa kwanza and then anafuta nyumba ndogo na baadae anamuoa ina maana huyo mke wa pili nae anaingia kwenye "hilo li mfumo unalolielezea?"

Elewa mada kwanza kisha uchangie
Na ni vyema zaidi ukaelewa kwanza maana ya nyumba ndogo.

Kwa ufupi tu kuna tofauti kubwa sana kati ya nyumba ndogo na mke wa pili! Hebu tafakari hata hayo maneno mawili tu.....KIMADA a.k.a(mwizi) na MKEa .k.a (mwenye mali) Akishaitwa mke wa fulani ndugu yangu huyo si mwizi tena bali ni mke halali wa mtu husika na ndo maana panakuwa hamna kificho tena. Sasa kimada huyo ni mwizi automatically na ndo maana hujificha hataki kujulikana. Naomba kuishia hapo
Asante mtoa mada.
 
Nyumba ndogo ni janga la taifa!!!
Mi nahisi baadhi ya tamaduni na dini zetu zinafanya ndoa kutokuendana na Mfumo wa Maisha uliopo!!!!
...
Just think!
Kuna wengi tu wanakua na hizo nyumba ndogo kwa sababu za msingi kabisaa! But traditions and religion makes it harder!!!!!
Think twice! Marriage is Satisfactory institution! When reasonable satisfication cant be achieved, What is the best solution????????????
...
We need to follow a best way of life which is suitable to our live. change and modification of our principles must be made REASONABLY!!!
...
 
Tatizo hadi mtu anaoa nyumba ndogo ni wanawake tu. Unakuta ukirudi nyumbani kelele, fujo na mahubiri yasioisha. Mwanaume unakuwa na amani zaidi ukiwa kwenye foleni kuliko home. Kazini tabu, nyumbani tabu amani inakuja nikiwa mpweke. Mtu akipata wa kumfanya ajione anathamani kwa nini asitangaze ndoa.

Wanawake badilikeni, ile dhana ya kwamba mnatakiwa mpendwe nyinyi tuuuu, mridhishwe nyinyi tuu, mfikishwe kileleni nyinyi tuu, mlishwe nyinyi tuuu, muiache kabsaa. Kama nyumbani ni patamu kupindukia kwa nini wazo la nyumba ndogo linijie?
 
huo ni ubinafsi yaani anataka umpende kuliko hata nafsi yako! sio ujinga ni nini? kwanza duniani hakuna kitu kinaitwa mapenzi ya watu 2....kuna ndoa ya watu 2 ...wapi imeandikwa umpende mkeo au mumeo tu?....
 
Wanaoruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja hawatakiwi kutafuta nyumba ndogo ila huruhusiwa kutafuta mwanamke nakumuoa wala c kuweka nyumbandogo
 
mada ngumu,kila upande unavutia kwake lakini jambo moja ni upendo duni ndani ya familia ama ndani ya wanandoa ndo chanzo cha nyumba ndogo,hata wanawake wananyumba ndogo si wanaumme tu.

jiulizeni kwa nini?,si usalti hata kidogo,upendo hakuna,tubadilike sote
 
Napita, endeleeni kulishana mambo ya kishetani - MTAMJUA MUNGU LINI?

Tukimaliza mambo ya kishetani... apia kwa roho yako mwenyewe kama huna au hujawahi kuwa na nyumba ndogo au hujawahi kucheat kwenye mahusiano
 
Tatizo hadi mtu anaoa nyumba ndogo ni wanawake tu. Unakuta ukirudi nyumbani kelele, fujo na mahubiri yasioisha. Mwanaume unakuwa na amani zaidi ukiwa kwenye foleni kuliko home. Kazini tabu, nyumbani tabu amani inakuja nikiwa mpweke. Mtu akipata wa kumfanya ajione anathamani kwa nini asitangaze ndoa.

Wanawake badilikeni, ile dhana ya kwamba mnatakiwa mpendwe nyinyi tuuuu, mridhishwe nyinyi tuu, mfikishwe kileleni nyinyi tuu, mlishwe nyinyi tuuu, muiache kabsaa. Kama nyumbani ni patamu kupindukia kwa nini wazo la nyumba ndogo linijie?

Kwani huyo nyumba ndogo ni mwanamme? Si naye ni mwanamke mwenye tabia hizohizo, za kutaka kufikishwa kilekeni tuu, kupendwa tuu, kulishwa tuu,!!!
 
Back
Top Bottom