Usirogwe ukaoa nyumba ndogo

Usirogwe ukaoa nyumba ndogo

alipoamua kua nyumba ndogo nt necessary alikosa wa kumuoa so usitake mbadilisha mawazo yake juu ya ndoa kwani alihitaji uhuru , kumilikiwa napo kuna gharama zake
 
Hata mke wa ndoa anaweza kukusaliti kuliko hata hiyo nyumba ndogo unayoisema;
Familia nyingi tu zina watoto wa nje ya ndoa; huu siyo zaidi ya usaliti ni nini.
Afadhari hata watoto wa nje ya ndoa wanaolelewa hukooo... Lakini nyie akina Mamndenyi watoto wa nje wa ndoa mnawalea ndani ya ndoa...

alipoamua kua nyumba ndogo nt necessary alikosa wa kumuoa so usitake mbadilisha mawazo yake juu ya ndoa kwani alihitaji uhuru , kumilikiwa napo kuna gharama zake
Kumiliki nako kuna gharama zake tena mara kumi zaidi ya kumiliki ndo maana kuna watu saa ingine wanakufa vifo vya ghafla kisa kafumania nyumba ndogo halafu ikamtoa baru uuuuwiii inauma mno
 
Usaliti kwenye ndoa imekuwa kitu cha kawaida mno, Wapo wengi mno wamepangishia vimada chumba, au nyumba nzima sasa hufikia penzi likanoga mpaka watu wakataliki wale zao au waume zao wa ndoa ili akaoe au akaolewe na nyumba ndogo, lakini bahati mbaya hukuta maumivu kwakuwa yule alikuwa ni mwizi na anajua kwa vyovyote ukiingia kwake hatakubali naye aibiwe...mara nyingi hutokea ugomvi na kutokuelewana mara kwa mara mifano ipo mingi sana lakini inatosha tu kusema iache nyumba ndogo ibaki kuwa nyumba ndogo kwakuwa Once a cheater always a cheater
Kuna nyumba ndogo nyiiingi zinahudumiwa na wapenzi zaidi ya wa3, utakuta kodi kalipa huyu, sofa kanunua yule, friji kanunua mwingine nk nk? nk na wote hamjuani

Bado cjaona sababu ulizoziweka za kutosababisha kwa nyumba ndogo
 
kichwa cha habari "usidiri kuoa nyumba ndogo" ukioa atakuwa nyumbandogo au mke mdogo?
 
Back
Top Bottom