Usiri wa kikao cha UvCCM Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiri wa kikao cha UvCCM Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pilato, Jan 20, 2009.

 1. Pilato

  Pilato Member

  #1
  Jan 20, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikao cha siri kilichofanyika znz kuanzia 14th to 18th jan 2009 ni aina mpya ya ufisadi ambao ccm inaanda vijan wake.

  Hebu wan JF tjiulize kama ccm na serekali ya jk inatumia 500m kwa siku 4 wakati vijana wetu wametimuliwa kwa kukosa ada je huu ni uungwana huyu jamaa na chama chao ni noma wanaandaliwa watumiaji wa baya wa rasilimali wajao.
   
 2. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Huo uhakika kwamba walitumia TSH 500 million kwa siku 4 uko wapi? Tuhakikishie
   
 3. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa katika gazeti la Nipashe jana, kuhusiana na gharama zilizotumika na watoto wa vigogo waliokuwepo. Naomba mtu ambaye ataipata online aiweke hapa. but in a nutshell watu walilipa 1.9 million per day some 466,000 per day kwa kikao cha siku 4. Waliohudhuria ni watoto wa Sitta, Warioba, Karume, Kingunge etc. bila kusahau mawaziri wetu 'vijana' Masha, etc Habari ndo hiyo!
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jamani;

  Sasa hata kama tuna good agenda za kuhusu kikao cha z'bar au kuhusu UVCCM sio kwa mtindo huu... umeanza viruzi kuchanganua "mafao waliyogawana, lakini gafla ukaja kwenye individual attacks; There is no way utashambulia mtu kimtindo huuu. Kwani hao uliowataja si kati ya members wengi wa UVCCM? Ulitaka wakae nje wasubiri wenzao wamalize?

  Tafuta hoja ya msingi hapa ku-challenge matumizi yao.. and only if walitumia pesa ya serikali

  Wakikaa wengine je? Achana na hao akina kingunges kids, they are very insignificant these days na hata wao wenyewe kujiamini kumeisha
   
 5. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  MTM, I was responding to the question of Augustine Mushi and Pilato's comment regarding watoto wa vigogo kutumia pesa nyingi na wananfunzi kukosa ada shule. I was also providing a summary of what I read in Nipashe that listed the name of people who attended with emphasis on the offsprings.
  BUt mkuu, heshima mbele:
  First you should make disclosure kama ni msemaji au mhusika when it comes to offsprings of vigogo maana otherwise your generalization that they are insignificant and hawajiamini is an attempt to diffuse the influence that these people have on contemporary and future politics.
  Second, yes we need to know what kind of jobs and incomes do they command in order to be able to afford 1.9 million per day or even 466,000 per day. And this is true not only for offsprings but even ministers. Did they pay from their own pocket or was it paid by ministries? If ministries then how come they make indirect contribution to UVCCM.
  So you see there are many unanswered questions that you cannot dismiss with empty remarks like 'individual attacks' There was no individual attack but a list of people who attended. If I missed someone let me know.
   
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Oh, I did miss some significant people who attended UVCCM meeting in ZNZ: Mbunge Rostam Aziz and Mohamed Dewji were also present. In Nipashe, they even disclosed how much each paid per day.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mze nimekusoma; yale ni mawazo yangu binafsi 'coz i am no related to any (of the vigogos) but mtazamo wangu ni kwamba hao vigogo (watot wao, wake zao, ndugu zao etc.) si influencial kama ilivyokuwa 12 months ago. Kuhusu hizo gharama, i agree with you and that is what excited me more than names of watoto wa fisadis

  I guess i picked on majina because they iritate sometime, and left the better part of your post... probably i was too keen to avoid vigogo attention na kukazia kwenye context - "UVCCM kikao, gharama and if it is rational for all that money to be spent kwenye kikao wakati vijana wanateseka"

  Tuko pamoja
   
 8. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hayo mambo muulizeni FMES atakuwa anajua tu.What i know zilihudhuliwa na Vasco da Gama a.k.a Thabo Mbeki
   
 9. A

  AndrewMwanga Member

  #9
  Jan 21, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hizo fedha zilizotumika ni za CCM au serikali ya jamhuri ya muungano?

  kama ni za ccm kutoka katika vyazo vyao halali vya fedha sio tatizo, kama ni za serikali yetu hapo kunatatizo.

  tujaribu kutenganisha mambo ya binafsi ya chama cha siasa, na serikali na cham na serikali kwa ujumla wake.

  AM
   
 10. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ni chanzo gani halali cha CCM unachokijua kinachowawezesha kutumi Shs Mil 500 kwenye kikao cha siku 4??!!!

  CCM wenyewe wanatofautisha kati ya Chama na Serikali pale inapowapa wao ulaji tu...kinyume na hapo wao wenyewe wanachanganya...sithani kama ni haki wananchi tukitegemewa kutenganisha.
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Yebo Yebo naomba nikupe tano! Umesema kitu ambacho ni kweli! Eti vyanzo halali vya CCM! What an oxymoron!
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tanil somaiya
   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  vyanzo halali vya CCM ni vipi ikiwa watoaji ni kina Rostam?
   
 14. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Hahaa haa..mkuu mbona unataka kupotosha maana ya neno "halali".??
   
 15. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #15
  Jan 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280

  kamanda FMES mambo vipi...hembu fanya taarifa za jijasusi za hichi kikao cha kempski..basi ,ajenda na kila kitu.....mission kubwa ilikuwa kujiandaa kwa mwakani...partcipant list haikuwa haba....
   
 16. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wewe naona ni mmoja wao hawa mafisadi wachanga wa ccm. wakati watanzania wanateseka kwa dhiki nyie mnaponda raha zamani kempisk z'bar!!!
   
 17. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nawataka tutafakari kwa pamoja mkusanyiko huu kwani unaweza ukajiuliza kwa jinsi ambavyo vita ya makundi ndani ya CCM ilivyo leo eti Rostam anafadhili mkutano wa vijana ambao ni watoto wa vigogo waliokwenye makundi hayodani ya CCM kukaa na kujadili kwa pamoja.

  Kama waliweza kuwakalisha watoto je? sio mwanzo wa kutaka kuwakutanisha hawa vigogo ambao wanasiginana?

  Kwa nini kikao hiki kiwakusanye watoto wa vigogo tuuu?

  mfano wa waliohudhuria ni watoto 2 wa Kawawa, sitta,lowassa, kikwete 2, msuya, msekwa,makamba2, warioba,sumaye, kigoda, etc kwani UVCCM haina vijana zaidi ya watoto wa hao vigogo?

  Mkutano walijitahidi kuufanya uwe siri ila hakuna kilicho siri tena kwani taarifa tayari zimeshasambaa kila kona .
   
 18. L

  Lorah JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vyanzo vyao si BOT,Rostam azizi,na Manji, na wawekezaji.....
   
 19. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mkuu huyu ndiye aliyechanga?

  Nipashe wanasema kuna kigogo kachanga M 200 (NAME WITHHELD)..
   
 20. K

  Kinvaba Senior Member

  #20
  Jan 22, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkutano ule uligharamiwa na NGO moja toka America. Rais Mbeki alikuwa ni mmoja wa watoa mada ktk mkutano huo uliobatizwa kwa jina la "retreat ya vijana wa CCM". Walengwa walikuwa makada wa CCM waliopo ktk chama na wale waliopo ktk private sector. Hakuna hata senti moja toka CCM au Serikalini. Ni vizuri tukapeleka nguvu zetu ktk kutaka kujua ni NGO gani iliyogharamia mkutano huo, na madhumuni ya mkutano huo yalikuwa ni nini?
   
Loading...