Kuna conspiracies nyingi sana zinahusishwa na vifo vya hawa maraisi wawili.
Kwa mfano kama JF Kennedy kuna stori kwamba sababu ya kifo chake ni kutoa ushirikiano kwenye zile civil rights movement ambazo zilipekea mpaka wamarekani weusi wakaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu wa marekani na kupata haki zingine za msingi kitu ambacho wazungu wengi hawakukipenda.
Tukija kwa Abraham Lincoln nae pia kuna stori zinasema kilichomfanya akauwawa ni kitendo cha yeye kukomesha biashara ya watumwa hasa kwenye zile states za kusini ambapo ndio ilikuwa ni kitovu cha biashara hiyo. Hivyo wanufaika wakuu wa biashara ile ikiwemo familia ya aliyekuwa mtangulizi wake Thomas Jefferson hawakukipenda ndio maana waka mkili.
Mambo ni mengi sana yanaongelewa kwenye vifo vya hawa maraisi wawili, lakini ni maraisi watakao kumbukwa mpaka dunia inafika mwisho.