Usiri ajira TISS

Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Ndio maana twasema kuna kazi zatakiwa zitangazwe, wao waite watu.

Wanaotakiwa kuwa siri ni waohusika na operations. Ila wahasibu kuwaficha si sawa
 
Kuna jamaa fulani nilishangaa naye yumo, kisa baba yake yumo
 
Hahaha daah hawa wa tz huku juzi wameniibia pafyum yangu.nimewashusha hadhi sana!hawana tofauti na askari magereza.
 
Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Hapa Tanzania hatuna usalama wa taifa tunamakachero uchuro. Wanajua kufuatilia sana mtu akitukana kiongozi mpuuzi ila sio kufuatilia uhalifu unaohatarisha usalama wa taifa.
 
Wale mashoga wa Kahama na Babati wamefundishwa na Wamarekani?

Ukimwi ukipotaka kuwamaliza miaka ya 1990's si ilikuwa tabia yenu ya kutomb....hovyo mpaka mkasaidiwa ARVs ilisababishwa na ushoga wa marekani?
Samahani mkuu naomba kukuuliza kama ulishawahi kuwa shoga au wewe bado ni shoga?
 
-Wenye nchi ni WA Tanzania wote
- TISS ndio engine ya nchi, kasome sheria ya Tiss utaelewa, hao ndio wenye taarifa zote za nchi, na ndio maana Hata CAG huwa hakagui TISS na Ikulu, làkini CAG anakagua hadi Jwtz na kutoa remarks as to whether kuna hati safi,chafu au yenye mashaka.
-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…