Kwani mamlaka ndio zinaibiwa!!!!?Acha waibe, kama mamlaka hazifuatilie sisi tutafanyaje?
Wakala wa vipimo si wapo au wao wanaenda buchani na mizani zao? hakuna namna.Kwani mamlaka ndio zinaibiwa!!!!?
Halali, how?Licha ya mambo ya Mizani penda kununua nyama mchana badala ya Asubui.....
Mchana na jioni maji maji na damu vinakua vmekauka kwa hiyo unanunua nyama halali....
Ukinunua Asubui nyama inakua na maji maji, pia inakua na damu hivyo uzito wake unakua Mkubwa, Ila ikitundikwa inakauka kwa hiyo uzito wake unapungua.......Halali, how?
Ooh, ahsante kwa ufafanuzi aisee. Nitafanya hivyo.Ukinunua Asubui nyama inakua na maji maji, pia inakua na damu hivyo uzito wake unakua Mkubwa, Ila ikitundikwa inakauka kwa hiyo uzito wake unapungua.......
Kilo moja ya asubui sio kilo moja ya Jioni Mkuu.......!
OK..Ooh, ahsante kwa ufafanuzi aisee. Nitafanya hivyo.
Ikiwa upo Dar nunua nyama Kawe jeshini nje madukani opposite Makongo pale hakuna masihara. Nyama nzuri na mzani mzuri. Michele ikiwa unaweza bora nunua Nakumatt ama supermarket zingine. Umepimwa vizuri na kilo zimetosha.Acha waibe, kama mamlaka hazifuatilie sisi tutafanyaje?
Acha waibe, kama mamlaka hazifuatilie sisi tutafanyaje?
Hata hao mamlaka ya vipimo nao si wananunua nyama buchani au wao wanaenda na mizani zao?Zama hizi bado wanatumia mechanical weigh scales, mbona ipo mizani ya electronic kwanini mamlaka zisitoe agizo ikatumika hiyo au wale wakala wa vipimo wanafanya kazi gani maana unawakuta mtaani na tupa, misumeno ya chuma na vinyumdo....., jukumu lao nini kama siyo kushughulikia wizi wa aina hiyo
Mkuu sisi tunaishi kwa mazoea hakuna namna.Ikiwa upo Dar nunua nyama Kawe jeshini nje madukani opposite Makongo pale hakuna masihara. Nyama nzuri na mzani mzuri. Michele ikiwa unaweza bora nunua Nakumatt ama supermarket zingine. Umepimwa vizuri na kilo zimetosha.