Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Ukisema kuwa nitubu nikiwa mzee alafu Mungu akanichukua ningali kijana, nitafaidikaje?Tumia vyema ujana wako kwa kuwala type mbali mbali za mademu ili ata ukizeeka usije kujawa na tamaa,
Umepewa nguvu na Akili ya kuweza kumudu kila game sasa kwa nini ujivike ulokole wakati mwili unatamani,
Unajifanya mwema ujanani unakuja kufa uzeeni na dhambi ya Tamaa,
Sawa uzinzi ni dhambi, "sio kwangu" lakini utatubu ukiwa uzeeni tamaa ikishapotea utasamehewa na kufa ukiwa msafi.
CC Zero IQ
Mkuu kiwanda kimoja ila bizaa tofautiKama ww ulivyotutahadharisha na ww nakutahadharisha, cheza kwa makini, k ni zilezile inategemea na ulaji wako tuu.
Soma hapa usije kufa kwa uzembe - JamiiForums
Niliposoma hii, nikajiuliza: ww ni mwandishi wa vitabu?? Mana hii ilitakiwa iwe quote from a book ambacho ni bestseller (take it frm me!)Wadogo zangu “kama huna uhakika wa kutunza mtoto & familia kuwa na discipline katika ujana wako”, watu wasiteseke kwa makosa yetu..Mungu atumiminie subira na kutusimamisha imara
kwa kuchungulia kwa wakubwa hujambo
I appreciate [emoji106]Niliposoma hii, nikajiuliza: ww ni mwandishi wa vitabu?? Mana hii ilitakiwa iwe quote from a book ambacho ni bestseller (take it frm me!)
Nikajiulza km ww ni wakiume au wa kike...afu nikajinenea mm mwenyewe ili nikidh matakwa yangu, nikasema...km ww uleandika hii reaction niwakiume...basi nakuomba umsubir mwanangu akue nkuozeshe
Maneno yko hayaweze kutoka from a cheap, irresponsible piece of sh*t
#Nimei screenshot hii kwa heshma yko mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Very TrueWadogo zangu “kama huna uhakika wa kutunza mtoto & familia kuwa na discipline katika ujana wako”, watu wasiteseke kwa makosa yetu..Mungu atumiminie subira na kutusimamisha imara