Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

leteni maoni wadau wa elimu hahaha!!
 
Diploma in civil engineering..electronics and telecom atusue afu degree iwe shida...kivipi...??
Nyie six mnavitabia vya kitoto mkifika chuo kikuu...wakati wenzenu wanauzoefu na kazi husika..
Kwaiyo unahisi kutusua diploma inakupa guarantee ya kutusua degree jua wengi wanaotokea diploma huko ni uwezo mdogo failures walioshindwa kua admitted a level so wakienda vyuo vyenye mishe mishe hawatusui iyo degree unayoongelea wewe , nimesoma civil engineering udsm na hao wenye diploma aliefanikiwa kufika 4th yr ni mmoja nae kagemua kwa shida, UDSM sio friendly kabisa kwa diploma holders na inservice kutusua always inawawia vigumu sana
 
Je huyo wa diploma dit akienda vyuo vingine anasoma miaka 3??
Unachotakiwa kujua degree za engineering wanazotoa Dit ni tofauti na vyuo vingine wanatoa bachelor of engineering not bachelor of science in engineering ndo maana wakienda vyuo tofauti na dit wanapata shida, Mtu anaesoma bachelor of engineering anajua only HOW lakini anaesoma bachelor of science in Engineering anajua HOW and WHY in engineering
 
PCM, PCB, PGM,CBG COMBINATION ZA KIUME na raha upite shule zetu zile tosa boys, mzumbe, illboru, kibaha, tabora boys, bwiru boys, galanos, tanga tech, daa chuo hakileti shiidaa
 
Angalieni msibshane mpak mkafikia kutwangana makonde humu leteni hoja!!!.
 
Hahaha Hahaha Hahaha... Duh!!
 
Acha kutisha watu topic gani ya form four inaingia kwa topic ya form six? Ukiwa na form six ni advantage kubwa sana hasa kwa walio soma phy/maths
Sio kutisha watu ,jamaa anakwambia ukweli kabisa pale Dit huyo form six huwa anasoma masoma ya diploma mwaka wa kwanza na anasoma miaka 4 wakati wa diploma anasoma mitatu ,pale physics au chemistry haisaidii kitu vichwa vyeupe ni kama unaanza moja labda hesabu,pale ni namna kichwa yako inavyoelewa mambo ila sio form six ulipa daraja gani
 
Ukibishana na watoto wa f6 tena BRN utaumia kichwa,
 
mnambeza bure tu mtoa mada.. ila yuko sahihi kwa kiasi kikubwa japo pia uelewa wa mtu ni kitu muhimu kuliko alikopita.

mfano..
kuna somo linaitwa engineering mechanics.. kwa hapa ninaposoma linasomwa mwaka wa kwanza.. hapo ni vectors 3D na ku-resolve force.. inwapa taabu sana watu tunaosoma nao waliopita diploma(sina maana kua mimi ndo master.. ila atleast) kuna koz za hesabu.. electronics.. magnetisms static electricity... ambazo kwa aliyesoma advance anakua na mwanga..
 
Kuna vyuo kozi zingine watu wakitoka certificate wakiwa na distinction wanarushwa degree bila A level wanapata shida sio wote wanaijua hiyo diploma.
Certficate anasoma degree?
 
Hv unafahamu kuwa kuna nchi nyingi tu ambazo hazina utaratibu wa form 6 ?,

advanced level kwa hizo nchi inakua incorporated kwenye madarasa ya chini
 
mnambeza bure tu mtoa mada.. ila yuko sahihi kwa kiasi kikubwa japo pia uelewa wa mtu ni kitu muhimu kuliko alikopita.

mfano..
kuna somo linaitwa engineering mechanics.. kwa hapa ninaposoma linasomwa mwaka wa kwanza.. hapo ni vectors 3D na ku-resolve force.. inwapa taabu sana watu tunaosoma nao waliopita diploma(sina maana kua mimi ndo master.. ila atleast) kuna koz za hesabu.. electronics.. magnetisms static electricity... ambazo kwa aliyesoma advance anakua na mwanga..
 
Me najua best qualification ya kwenda chuo kikuu ni best performance ya o'level na so a'level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…