Totally hatuelewani Elli79 ndio maana hata mitazamo yetu ipo tofauti kidogo ndio maana nasema sio wanaume wote wapo sawa na ndio maana kuna wengine wanakuwa treated hivyo na wake zao kama mleta mada asemavyo kutokana na tabia zao za kiskafunje, yet kusaidiana katika mahusiano ipo sikatai but still mwanaume unatakiwa usimame kama mwanaume, hii convo ingekua uso kwa uso najua ungenielewa vizuuuri nini nasema
Tabu ni kwamba hapa wengi wanadhan sie tunapinga hvi tunataka hela, ila ukwel tunajaribu kuwaeleza watu wenye tabia hii ni mzigo kwa namna gani, ili mabinti wawe na tahadhari na hlo, mapenzi/ndoa haingalii pesa ila upendo wa dhati, uvumilivu na ustahimilivu wa mambo, unaweza kuwa na mwanaume ambaye anakipato kidogo kabisa lakin akawa ni mtu mwenye anayejal familia, atajitahid kuifanya familia iwe na amani muda tuchukulie mtu anayepoke kima cha chin 180000 akaja nyumbani akatoa hata 80000 tu labda mama mwl anapokea 240000 take home, nikimaanisha labda anamkopo ndio maana akapata 240000 hv hiyo 80000 haita msaidia mama kujiongeza hapo katika bajet yake kulinga na maisha yao? itakuwa sawa na kubwa jinga ambalo linapokea 900000 alafu bado linapiga mizinga? huyu ni mwanaume wa kumvumilia? hebu wakaka kuwen wakwel hapo,hayo ni mahaba nifilisi kama si ujinga, ukwel ni kwamba akina kaka wengi mnamaliza pesa zenu kwenye starehe za kijinga kama pombe, kujifanya mnajua kutumia pesa bar sijui mnataka sifa kwa ma barmeid, Hakuna binadam asiejua kupenda na thaman ya kupendwa lakin lazim kila mmoja ajue wajibu wake hata kwakuchangiana kiduchu, Nyie wanaume mlilalamika kuwa wanawake ni magoli kipa, sie tukajiongeza ili maisha yaende. sasa mmekutwa na yapi hadi kujisahau na kuwa tegemezi tena?
Note: sio wanaume wote ni wale tegemez ndio walengwa
Njoo kiembe mbuzi tupige za uso kwa uso #joke !!!Totally hatuelewani Elli79 ndio maana hata mitazamo yetu ipo tofauti kidogo ndio maana nasema sio wanaume wote wapo sawa na ndio maana kuna wengine wanakuwa treated hivyo na wake zao kama mleta mada asemavyo kutokana na tabia zao za kiskafunje, yet kusaidiana katika mahusiano ipo sikatai but still mwanaume unatakiwa usimame kama mwanaume, hii convo ingekua uso kwa uso najua ungenielewa vizuuuri nini nasema
We bidada, unaongelea mtu MUME? Au ni MWANAUME tu mnaishi nae...ujue kuna tofauti hapo eeh..!Tabu ni kwamba hapa wengi wanadhan sie tunapinga hvi tunataka hela, ila ukwel tunajaribu kuwaeleza watu wenye tabia hii ni mzigo kwa namna gani, ili mabinti wawe na tahadhari na hlo, mapenzi/ndoa haingalii pesa ila upendo wa dhati, uvumilivu na ustahimilivu wa mambo, unaweza kuwa na mwanaume ambaye anakipato kidogo kabisa lakin akawa ni mtu mwenye anayejal familia, atajitahid kuifanya familia iwe na amani muda tuchukulie mtu anayepoke kima cha chin 180000 akaja nyumbani akatoa hata 80000 tu labda mama mwl anapokea 240000 take home, nikimaanisha labda anamkopo ndio maana akapata 240000 hv hiyo 80000 haita msaidia mama kujiongeza hapo katika bajet yake kulinga na maisha yao? itakuwa sawa na kubwa jinga ambalo linapokea 900000 alafu bado linapiga mizinga? huyu ni mwanaume wa kumvumilia? hebu wakaka kuwen wakwel hapo,hayo ni mahaba nifilisi kama si ujinga, ukwel ni kwamba akina kaka wengi mnamaliza pesa zenu kwenye starehe za kijinga kama pombe, kujifanya mnajua kutumia pesa bar sijui mnataka sifa kwa ma barmeid, Hakuna binadam asiejua kupenda na thaman ya kupendwa lakin lazim kila mmoja ajue wajibu wake hata kwakuchangiana kiduchu, Nyie wanaume mlilalamika kuwa wanawake ni magoli kipa, sie tukajiongeza ili maisha yaende. sasa mmekutwa na yapi hadi kujisahau na kuwa tegemezi tena?
Note: sio wanaume wote ni wale tegemez ndio walengwa
Njoo kiembe mbuzi tupige za uso kwa uso #joke !!!
Again, it's your fault kudate na mtu wa tabia hiyo. Na utakuta wengi wenu mnaishia kulalamika tu but you take zero action. Kuna bidada unlucky analalamika since 2011 jamaa keshamtotolesha watatu na bado ananyanyaswa, anaomba ushauri since 2011...whose fault do you think??
We bidada, unaongelea mtu MUME? Au ni MWANAUME tu mnaishi nae...ujue kuna tofauti hapo eeh..!
Tofauti ya kuishi na mwanaume mmeokotana tu huko bar na yule mliyeokotana huko na akaja home na kutambulika ni kubwa bidada..! anyways, nimekuelewa sawia..!Mbona kaka mnaanza kujigawa ghafla kha! mwanaume na Mume wote si mnasimamisha? wote mnazalisha? ok nazungumzia yule aliyeoa anayejua mshenga, mahali inatolewaje, na anajua akifanya hayo kinachofuata ni kuingia kwenye majukumu lakin anajikwepesha kwepesha. sasa wew unisaidie huyo ni Mwanaume au Mume
Pambafffffffffffffffffff!!
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half halafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa.
Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipotee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke.
Mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache.
Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yaani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.
Hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi