deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
hakuna tena kubeba charger hapo simu yenyewe inahjitosheleza japo ni mchina na haitokaa ikanyage bongo
simu hii kwa kweli imenifurahisha nikaona nifanye kushare na nyinyi
kwa habari za electronics pia waweza kutembelea Bongo Electronics