Kupenda sana ni kwa wanandoa tu!nje ya ndoa ukipenda sana utakuja uumizwe sana ni swala la muda tu.
hapanaJe ni kwamba uwe unampuuza mpenzi wako?
Ni sawa na mtoto wanaposema usizidishe mapenzi haina maana umpuuze, la hasha - ina maanisha usimdekeze kiasi kwamba hata anapokesea, wewe mzazi humkanyi unamwacha tu. Kwahiyo kwenye mapenzi ni hivyo hivyo usipende sana ikafikia muda/wakati mpenzi wako hata anapokosea wewe unaona sawa, unatukanwa unaona sawa, unaletewa mwanaume/mwanamke mwenzio wewe unaona sawa tuTuelezane basi jinsi ya kutopenda sana.
hapana
Ni sawa na mtoto wanaposema usizidishe mapenzi haina maana umpuuze, la hasha - ina maanisha usimdekeze kiasi kwamba hata anapokesea, wewe mzazi humkanyi unamwacha tu. Kwahiyo kwenye mapenzi ni hivyo hivyo usipende sana ikafikia muda/wakati mpenzi wako hata anapokosea wewe unaona sawa, unatukanwa unaona sawa, unaletewa mwanaume/mwanamke mwenzio wewe unaona sawa tu
Tueleze basi tupate kushare experience
ina maana ukiwa katika mahusiano usionyeshe kupenda kupita kiasi au usimpende mtu mpaka akajua kuwa wewe kwake umekufa umeoza!akijua hivyo inakuwa kama ndio kiboko chake kwake,kwahiyo anaweza akakutendea vyovyote vile anavyojisikia lakini kwakuwa umeshamwonyesha kumpenda sana atajua huwezi kutake reaction yoyote kwakuwa umezimika kwake!na waumizaji wengi siraha kubwa kwao ni hiyo so kwa sasa mahusiano yalio mengi ni 50 zake 50 zako,ukiona umeogelea sana unatoka unapumunzika kivulini,