Usipambane na wakubwa, watakuumiza!!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,859
Reaction score
15,055



Ndovu katoto akimwambia mzee mbogo, " mnoko wewe , hebu potea anga zangu!!"
Mbogo anamuuliza "unasemaje?"
 


Ndovu mtoto akajibu, " hunitishi wewe mzee, nishapigana sana na watu kama ninyi"
 
Ngoja niendelee kusubiri kitakachojiri hapa ....
 
Waamenda kunywa chai watarudi baadae
 

Duuh, hii mbaya sana. Huyo mbogo akili zake mbaya sana, hana hata utani! Lol!
 
Mzee mbogo sasa antamba,"Pori tumeliona kabla hujazaliwa, halafu unakuja na wembe wakati wenzio wenye magobore na shoka wameshindwa"


"Haya kamhadithie mama yako, mimi ndo mzee mbogo kipande cha pori hili, niko long time hapa!!" mbogo anamalizia.

Dogo ndovu alitokomea kusikojulikana.

Na binadamu tuko hivo hivo kama hawa wanyama!!!!!




 
Ni afadhali kujaribu kuliko kutojaribu kabisa...siku nyingine hata ndovu mkubwa atamuogopa kidogo mdogo.
 
Kwanza wamechafuka vibaya na mabwawa yamekauka cjui itakuaje?
 
Kweli mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu
 
kweli alidhamilia kukifunza adabu, akitoka hapo akili itakaa sawa na kuheshimu wakubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…