Usikute ulikuwa na hangover baada ya kunywa pombe bila kula. Jokinhaya maisha haya, kuna wakati mate yalinidondoka kwa kutamani chakula alichokuwa anakula mtoto wa jirani yangu, baada ya kushinda njaa takribani siku nne,yaani sikuwa na hata mia mbovu.
namwomba Mungu nisirudi nilipotoka.
Hii ya magunzi nimeipendaHahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
Liuji hilo vepeeHahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
Niliwahi shinda njaa siku mbili Sina hata Mia ,
Afu nilikuwa nafanya special exam so washikaji wengi wameenda kwao,
ghafla watot wa jirani wakanambia uncle mama alinunua vitumbua asubuhi ,
Dah nilivila kwa uzuni kinoma nikashushia na maji ,
Kesho yake asubuhi kwenye paper,
Cha kusikitisha mbaka saizi hali ni hovyo.
Umasikini ni mazafaka
UngaMaisha ni kupanda na kushuka....ni kujifunza kutokana na makosa..boranukipata helanununue msos wa kutosha ..ukipata tena unaongezea msos..hakikisha kastock ka msos hakakauki..maisha haya kutegemea rafiki yalishapitaga
Ha ha haMm siombi hela home. Nakaza hivi hivi hadi nione nitakufa nikila wali na maji. Ila nimepata somo nikipata mtonyo ni mwendo wakujaza misosi na kutunza hela tu marufuku kutoa hela kizembe. Hata bodaboda sipandi tena maishani mwangu, sitakula tena mgahawani sababu sehemu unakula kila siku alafu siku huna hela mwenye hotel anakwambia umekuja mapema sana mm sikopeshagi wateja mapema sababu siku nzima itakua wateja wanakopa tu. Daaah, sitafanya makosa tena.
Karibu Bimulo mimi nipo Chato.Nilipo hapa nimepata safari ya ghafla ya lazima Iringa - Biharamulo. Kilichopo mfukoni buku na wadau nikiwaambia nao wananieleza shida zao