Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
shida nyie zisikieni tu ushawahi kushika simu unaanza namba ya kwanza ad ya mwsho huon nan wa kukupa ata buku mbil na apo una mke na watoto na mdada wa kaz? Yan kuna kipnd maisha yanakutandka ad housgirl anakusaidia kuwaza mana ww na mke wako mshanoki ubongo yan mdada wa kaz yeye ndio anajiongeza anajua duka gani akienda awez kosa mchele kwa kukopa na kibanda gan awez kosa chainiz za jero [emoji119] wanaume tukipata hela tuwen na akil na heshima ya pesa pia shida zipo na zikimaliza kukufundsha na zkaona somo limeeleweka ua zinaondoka sasa
Ameen! Siku zote tuna imani kuwa Mungu ndiye mpangaji wa yote..Tunaamani siku njema/nzuri ziko karibu kuja.
Duh! Pole sana mkuu,mimi nina changamoto ila kuna watu mnapitia magumu zaidi.Afadhali yako huna familia
Mm dogo amerudushwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji
Na mvua ndio zinanyesha hatar,dogo viatu vimechanika maji yanaingia mpaka ndan
,
Nkaenda kukopa vibuti vya kavaa dogo awe anavaa aende navyo shule,yule mama ananidai utazan amenikopesha moyo daily hodi haziishi
Weee! Ogopa sana Mkuu..mkuu si ungewapigia watu wote uliokuwa nao kwenye simu angetokea mtu tu akutumie hata elfu 5
Mdogo ako aisee anaendeleaje mkuuHizi ndo nyuzi tunazopenda Wanajf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] October man kitambo simuoni jukwaani sjui nini kimemsibuJumemchek last week yuko poa..sijui wewe mdogo wako
October man
Bia? unazijua beer zinaitwa eagle hizo Bia ni buk 1000 tu unakula mbili then unashushia hapo na kipimo cha 1000Ndio mkuu na Sasa nko nakunywa ka bia
Upside down Kama hzi zipo tu au nasema uongo?
Unayasaga huku unamechanganya na mahindi kidogoNinayapitia hayo...Ila nilichojifunza na naenda kukitendea kazi ni magunzi kwamba yanashibisha haraka.....kwa io wataalamu niyachemshe au nitafune ...??
Hahahaha nimecheka jamani,eti wanasagia na magunzi washibe haraka.Hahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
Kumbe magunzi ni dili [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
"Shuka hapo kituoni chukua boda akulete hapa, ni buku tu"aisee nimejifunza mengi, kumbe tupo wengi tunapitia hali hii, ila kukata tamaa mwiko, one day yes. Daa jana jioni niliktembea kwa miguu toka town mpaka home nikijifariji nafanya mazoezi kumbe nauli sina
We jamaa comments zako zinanichekesha hadi naonekana Kama chizi hapa nilipo.Hahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
So kwa kifupi voda wanatoa mtaji kwa wateja waoMkuu Kuna hela ya songesha 16,500 voda kopa alaf tupa laini yao.
3,500 nunua karanga kilo, alaf buku nununua mkaa, buku jero nunua ile mifuko ya plastic ya kufungia karanga, mia mbili nunua mshumaa, kaanga karanga alaf zifunge ukauze stand
mfukon utabaki na 10,300 hapo buni biashara nyingine inayo endana na karanga hapo weka hata fegi