Mimi ninaona baada ya Mungu, nguvu inayofuata ni PESA, wengine wameamua pesa ni nguvu ya kwanza . Mtu anaamua kumaliza familia yote kwa ajili ya pesa! Chunguza swala la msukule utajua pesa ina nguvu gani!
Ninayapitia hayo...Ila nilichojifunza na naenda kukitendea kazi ni magunzi kwamba yanashibisha haraka.....kwa io wataalamu niyachemshe au nitafune ...??