Usiombe zikukute

NAPITA wanasema zinatokea mara moja tu katika umri wako wote, nikweli ukiugua hazijirudii?
 
Last edited by a moderator:
mm sikuwahi pata haya makitu. Ila kuna watu huwa zinawatesa sana wakifilka umr huo
zinaitwa tetekuwanga subiri zipo njiani zina kujaa mkuu kama udogoni ujapata
 
please man, usinitishe bana, kuanzia kesho naanza kufunga ili zikija zikutane na damu ya yesu zishindwe. au nihame nchi? hizi s zinapatikana bongo tu


zinaitwa tetekuwanga subiri zipo njiani zina kujaa mkuu kama udogoni ujapata
 
NAPITA hizi hatari sana,zilinipiga kama hizo kuanzia darasa la saba mpaka sasa nimemaliza chuo lakin bado ninazo.Kuna muda fulani nilikuwa siezi kukaa na watu kwa kutojiamini.

Sie wenye miili ya mafuta zinachapa kwenye paji la uso,kifuani,mgongoni na kwenye mikono.
 
Last edited by a moderator:
Hii sio Acne kweli? I think Tetekuwanga ni Chickenpox na haiko hivi!!
 
NAPITA wanasema zinatokea mara moja tu katika umri wako wote, nikweli ukiugua hazijirudii?

Sijawahi kumuumwa hiyo mungu aninusuru naskia homa yake kali sana.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Na niliwahi kusikia usipowahi umwa utotoni, ukubwani utakuja umwa tu
 
Kama ni tetekuwanga niliugua nikiwa form 6 ni mbaya sna zina homa kali sana na zinaharibu mwili todate nina mabaki matatu makubwa: kifuani 1, mgongoni 1 na uson lipo moja dogo kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…