D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
-
- #41
Hapo sawa..maana nlishaandaa maneno...[emoji3][emoji3]Si yupo hvyo hvyo jamn...yan huyo ndio copy yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shem unataka kunidhuru hadi mimi?[emoji23] [emoji23]Hapo sawa..maana nlishaandaa maneno...[emoji3][emoji3]
Sio kukidhuru nilitaka kukuweka sawa..maana naona ulikua unatoka nje ya mstari..[emoji3][emoji3] nipo hapa kulinda vya pacha wanguShem unataka kunidhuru hadi mimi?[emoji23] [emoji23]
Sasa akiniacha na nyie pacha zake wote mmechukuliwa si ndio kurudi kwenye chama lile la chaputa halafu kule niliondokaga kwa mbwembwe sana sijui kama watanipokea[emoji23] [emoji23]Sio kukidhuru nilitaka kukuweka sawa..maana naona ulikua unatoka nje ya mstari..[emoji3][emoji3] nipo hapa kulinda vya pacha wangu
Haha..hawezi kukuacha bana[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa akiniacha na nyie pacha zake wote mmechukuliwa si ndio kurudi kwenye chama lile la chaputa halafu kule niliondokaga kwa mbwembwe sana sijui kama watanipokea[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitisha mkuuYaani hapo ukisimama lazima upopolewe mawe na ukikimbia utapambana na mbwa.
Enzi zangu nikiona mtoto muzuri kama huyo halafu kwao kuna mbwa mnoko kama huyo, cha kwanza nilikuwa najenga naye urafiki huyo mbwa.
Cha pili ntajitahidi nimkune chini ya kidevu hapa, mbwa huwa anaweza kukuna sehemu zote lakini siyo hapo. Ukimkuna hivyo, mbwa atakuona kama wewe ni mkwe wake, akikuona anakuwa anakuchezeshea mkia tu na kukusogelea umkune tena.
Njia hii usijaribu kwa mbwa wa kisasa halafu uje useme mimi ndio nilikufundisha.
Na usiombee hata mtu mwingine akose utasikia muone yani wewe akili zako hazina tofauti na fulani..yani khaaa!! Utaomba ardhi ibinukeKama mnaishi familia kubwa wiki nzima maongezi ni wewe tu
Unakumbukumbu!!Hahahahahaa.
Umenikumbusha Tamthilia ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe, Mazoea alikutwa anapigwa kiss la nguvu na Ngoswe kule Mtoni..
Nyumba zetu zina maneno jamaniiiNa usiombee hata mtu mwingine akose utasikia muone yani wewe akili zako hazina tofauti na fulani..yani khaaa!! Utaomba ardhi ibinuke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa huwa mkuda kuliko mwenye mbwa wake.
Kama mtoto mdogo mamaake akiwepo atakuchezea atakutukana hata kukukojolea!ila mamaake akienda kazini anajifanya anakupenda kuliko chochote.ndio stail ya mbwa hiyo
Ukifeli basi ujue ndio utakua talk of the family..kitu kidogo tu wanakumbushia siku waliyokubamba uchochoroniWatakusubir matokeo ya form four necta !!!!