USIOMBE YAKUKUTE

Huyo atakuwa sio mwanaume sasa,hako ka kimbau mbau anashindwaje kukabeba sasa?
 
Hahahaha kaamua asimame tu aangalie wenzake wanavyobeba wake zao kama vitoto
 
Hahahaaa tembo ashindwi na pembe lake, ningekomaa siwezi kukubali kuonekana mdhaifu mbele ya mke wangu NEVER.
Hata siku nikichokozwa mbele ya wife ntageuka mbogo, ntakayofanya utahisi nina black belt kumbe hata sijawahi kwenda China
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…