Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Umetekwa na bi Zuhura?
Hahaha,we ukishasikia nimetekwahata kamanatakakuuawa na watu wasiojulikana ushaweka mawazo kwenye mabibi tu.

Utaniacha kaka yako naumia hivi hivi kwa kufikiri naogeshwa maji ya iliki.

On the realthough, I feel like I have stated my piece, there is almost nothing new to say.

And I am not interested in the pitter-patter dilly-dallying squabbling swashbuckling and a helluva hullaballoo here.
 
Mazee inaonekana una allergy na condom mpaka mechi za vichochoroni.
Sipendi kabisa aisee,nikimpima binti na kubaini yupo salama hunipa ujasiri kwa sababu swala la mimba huwa naamini ni maamuzi ya mwanamke!

Asipoitaka mimba hawezi kuipata,akiitaka anaipata!!
 
Self harm is one sign of mental health disorders, normally is done for attention seeking but is more likely to develop to suicide if is not controlled.

Mimi si mtaalamu wa magonjwa ya akili lakini hilo ulilo nalo hapo ni bomu litalipuka saa yeyote.
Mungu wangu,hapo ndo panatisha sanaaa!!!
Hata ndani kwangu pamekuwa kwa moto!!!
 
Nikisikia msukuma katekwa najua katwekwa na mtoto rangi ya yesu kama si mtume.

Hapa tinaomba asije honga Nchi, mana kaanza na wilaya, atakuja mkoa na mwishoe Nchi kabisaa.
 
Sipendi kabisa aisee,nikimpima binti na kubaini yupo salama hunipa ujasiri kwa sababu swala la mimba huwa naamini ni maamuzi ya mwanamke!

Asipoitaka mimba hawezi kuipata,akiitaka anaipata!!
Tena ni majaliwa ya Mungu pia, au siyo?

Nasema asalam aleikum bro
Kwetu binti mkali, biti kali
Mwendo peku slow, bila soksi
Kichwa boksi, itaku costii
Hands up, gobole moja, polisi postiii

-Zaiid "Sijulikani"
 
Pole sana mkuu.piga moyo konde. Maisha huwa hayarudi nyuma na matatizo ni kipimo cha akili. Unachotakiwa kukifanya kwa sasa kwanza ni kuhakikisha afya ya huyo mama kwenye picha inatengamaa.

Baada ya hapo kaa chini tuliza akili na ufanye maamuzi sahihi juu ya maisha yako yajayo. Maana makosa yameshafanyika. Hakuna mda tena wa kujutia. Kabiliana na maisha ya mbeleni kwa kufanya maamuzi sahihi
 
Duuh,ndugu yangu naugulia machungu wewe unaleta komedi,sio sawa mkuu!!
Kwahiyo kama nimewahi kuona kwenye bongo movie nisiseme mkuu?kama ziko tofauti tofauti weka nyingine tuamini sio picha moja umetuma Mara tano
 
Ahsante kwa mchango wako mkuu!
Nashukuru sana!!!
 
Magonjwa ya akili yanatibika lakini ni tiba ya muda mrefu. Anaweza kuwa kwenye dawa kwa miaka mitatu hata minne na asikose dose.
Miaka yote hiyo ndugu yangu,nitawezaje kuwa naye kwa miaka mingi hivyo!!?
Wakati mimi natafuta namna bora ya kuepukana na mazingira haya!!!
 
Ngoja nikupe mfano mimi naishi mbali na familia, inanichukua siku mbili kusafiri na kuifikia mkoa ambapo familia ipo. Lakini nimewekeza kila baada ya miezi miwili lazima nitoroke au ruhusu kwenda kuungana na familia (nafikiri unaelewa nachosema).

Mbali na hapo nimewekeza sana kwenye mazoezi Mara 2 au 3 kwa wiki lazima nifanye mazoezi ya kufa mtu, pia kazi yangu hunifanya kuwa busy mara nyingi.

Pia likizo ya mwezi ya mwezi wa sita familia hunifuata na kukaaa mwezi mzima.

Sawa kuchepuka kunaweza kutokea ukizidiwa lakini sio kuendekeza na kuishi kama make na mume.

So punguza tamaa na ukaribu na wanawake otherwise utashindwa kulea familia zote na kusababisha migongano isiyokuwa na lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…