ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
-
- #41
Ndugu yangu acha kabisa,hapa najitahidi sana nipotezee lakini akili inagoma kabisaaa!Duuu pole mkuu yalishanikuta mwezako mpk Leo nawaogopa nilitamn kuama mji mkuu ila nashukur mungu uzim upo
Mbona hii picha niliwahi kuona kwenye bongo movie ya kina bamboNaomba radhi kwa picha hizi??View attachment 863293
Ninajutia sana kwa hakika lakini ndo sina tena jinsi ya kufanya ndugu yangu!!Mkuu mwanamke anajileta analala akutege kwa ujasiri bila aibu, nawe una uvaa mkenge 😱.
Kwa ujasiri alioufanya huyo mwanamke ulitakiwa ushtuke na umpeleleze zaidi.
Mengi huwa yakujitakia!!!pole sana mkuu
wanaume tunapitia mengi sana
Naomba ufafanuzi kwenye hili mkuu!!!Hii ni psychiatric case mpeleke Bombo aonwe na wataalamu wa ubongo na fahamu.
Una maanishaje mkuu!Kama jina lako lilivyo, kweli wewe ni Great Man
Mzee baba huonekani jukwaaniMazee inaonekana una allergy na condom mpaka mechi za vichochoroni.
Ni kweli kabisa umbali unachangia,kuna wakati nafikiri kama ningekaa na mke wangu majanga haya yasingenifika,loop hole ya ukaribu sana isingekuwepo kabisa!!Kupitia somo lako hope wengi watajifunza, jambo hili ni common sana kwa maisha ya sasa ambapo ajira zinachangia kutenganisha wazazi, ntakushauri nikipata muda ila cha kwanza acha Tamaa ya zinaa
Mkuu sio rahisi kiasi hicho,na hiyo nahisi ni mbaya zaidi kuliko hata kuwaacha wote!!Oa tu wote wawili mbona simple tu
Matokeo ya kutiana ndo haya ndugu yangu yananitesa sana,kiasi kwamba nafikiria hata kupotelea kusikojulikana nikaanze upya kabisa!Kwan una kosa gn mkuu, mbona hapo hujafanya kosa lolote?? kwan kutiana , au kuzaa ni kosa??
Duuh hapo ndo naona dalili za kuuawa kabisa,kwa dhana hiyo hiyo ya tukose wote!!!Bora tukose wote tu
Nimetekwa Mzee Baba, nimetekwa.Mzee baba huonekani jukwaani
Umetekwa na bi Zuhura?Nimetekwa Mzee Baba, nimetekwa.
Uli-solve vipi mkuu,naomba uzoefu wako kwenye hili tafadhali!!Mimi nina kisa changu kiasi flani kinataka kufanana na chako. Nikiamua kukielezea hapa jukwaa litasimama.
Ni historia ambayo imenifanya niyaone mapenzi yanaweza kuleta huzuni kubwa sana. Unajikuta upo katikati na kila mtu anakuhitaji na unashindwa umchukue yupi umwache yupi. Acha kabisa.
Self harm is one sign of mental health disorders, normally is done for attention seeking but is more likely to develop to suicide if is not controlled.Naomba ufafanuzi kwenye hili mkuu!!!
Maana ni msononeko usio kifani moyoni,najaribu kufikiria hatua aliyoichukua napata hofu kubwa sana!