Why mkuu!
Una mashaka na kipi,wawezanipa ushauri wako pia!pengine utafaa zaidi kuliko maamuzi yangu ya sasa!
anajiamin ndo maan wengine roho zetu nyepesi bn hatuwezPole sana mkuu, nimejifunza kitu pole sanaa
ila we jamaa unapatawapi nguvu ya kupiga picha na hali hiyo??
Niliamua kuachana na wotr,nimerejea jijini Dar kutafuta upya uelekeo wa upepo,may be Mungu akitupa uzima nitaanza michakato ya kutafuta mke miezi ya mbele mbele hapo,lakini kwa sasa ninaitafuta pesa tu kupunguza ukali wa maisha na kusapport watoto wangu baaas
Niliamua kuachana na wotr,nimerejea jijini Dar kutafuta upya uelekeo wa upepo,may be Mungu akitupa uzima nitaanza michakato ya kutafuta mke miezi ya mbele mbele hapo,lakini kwa sasa ninaitafuta pesa tu kupunguza ukali wa maisha na kusapport watoto wangu baaas
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi,moja ya vitu tunavyokosea kwanza ni kuoa watu tusiowapenda toka ndani ya uvungu wa moyo wetu.Wengi tunaoa kwakuwa tumeshawazalisha. Pili hizi kazi wewe uko mkoa A,wife mkoa B lazima mmoja anaweza kuingia ktk majaribu,ndoa nyingi zimekufa au ziko ICU kutokana na huu umbali. Tujiazali wanandoa wenzangu tukiwa mikoani mbali na familia zetu,wanawake wa nje ni nyoko.Kupitia somo lako hope wengi watajifunza, jambo hili ni common sana kwa maisha ya sasa ambapo ajira zinachangia kutenganisha wazazi, ntakushauri nikipata muda ila cha kwanza acha Tamaa ya zinaa
Mkuu pole sana,yaliwahi nikuta ila kila demu nikiyekuwa nae, kitu cha kwanza ni kujitambulisha,nina mke na watoto kadhaaa,mahusiano yetu sio yakupeana watoto nikifanikiwa kiasi.Bwana weeee akaja mmoja yuko njema tu anataka mtoto kwa gear ya yeye atalea ikifika kipindi akadai twende tukapime aisee mie ndio ulikuwa mwisho wa mahusianoa. Sikukoma nikampata mwingine nikamwambia utaratibu wangu huyu sikumpenda kuvile lkn bwanaaa weee zile treatment zangu akanawili nikaanza kumpenda kwa nguvu zote pika pakua! ikanasa akelewa soma ikatolewa! ntaendelea ila huyu nahisi alinipa vidawa vyao ila kwakuwa nilikuwa fit vungine vilidunda.Hapa ndoa inapumulia mashine nipo jijini now lkn weeee acha.Nawashuri wanume wenzangu tuache vihelehele tukiwa mikoani tukizidiwa ita wife akae hata week upige mashine! Mie kwa kweli kama wewe najuta ila sijaacha mbegu huko ipo siku itasimulia mikasa yanhuko mikoani hatari.Tulinde,tuheshimu na tuthaminini wake zetu. Sometimes chanzo cha wake zetu kwenda out ni sie hatuwapi show za kibabe toka tumeenda mkoani,mawasiliano kdg,hatuwaiti waje kula dudu so nao wanatongozwa hawa akija mkoa tunazingua,vile vimwanamke vya nje vinapiga pini kinyama.Ni kweli kabisa umbali unachangia,kuna wakati nafikiri kama ningekaa na mke wangu majanga haya yasingenifika,loop hole ya ukaribu sana isingekuwepo kabisa!!
I have never seen the lady,hata yeye naamini hanifahamu kabisaaKwa hiyo hii ni is yako nyingine? Una id ngapi humu? How is Grace mwakilasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Aina ya hii mono wake Moja kwa Moja demu Ni mbayaaa mwembamba mrefu.Naomba radhi kwa picha hizi??View attachment 863293
Sijui ni hatua gani nichukue kujinusuru!!!View attachment 863302View attachment 863303