Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Wanaume mnataga nn sijui... Una mwanamke mpole anakupenda anajiheshimu ....then Unaenda kufanya mauza uza yako.....first thing mtishie mwambie naenda kukureport polisi unataka kujiua....afunguliwe shtaka LA kuudhuru mwili.....mama wa singida ni familia yako, ndo Umeanza nae maisha na mnaelekea Kupata mtoto wa pili, unamuachaje mwanamke aliyekuzalia watoto wawili jamani..... Utajilaani mwenyewe..... Huyo dada mwingine ana familia Nyingine (wale watoto wawili?) so Usifanye mistake ya kumwacha mwanamke wa watoto wako...... Uende kulea damu zisizo zako halafu wanao watateseka Sana..... Wazazi wakiachana mtoto anapata shida saaana
 
Naomba soma mrejesho wa safari yangu ya Singida,halafu uje unishauri pia mkuu!!
Ni mtihani mgumu sana kwangu!!
 
pole sana' Usichokijua nikwamba" wanawake ni watu wa visasi mnoo" ikitokea umemsaliti then akajua na ukamuomba msamaha akakubali", usijidanganye kuwa amesahau/ ipo siku lazima atakuja kulipiza tu.

. but tanguliza subira mbele" utashinda" ... je ni maamuzi yapi uliyoyachukua mpaka sasa
 
Ukweli ni kwamba nimeamua kuachana nao wote!!!

Mungu anisamehe kwa uovu nilioutenda,nitaanza upya kabisa,baada ya kutafakari sana!!
 
Ukweli ni kwamba nimeamua kuachana nao wote!!!

Mungu anisamehe kwa uovu nilioutenda,nitaanza upya kabisa,baada ya kutafakari sana!!
Aisee", na nivipi kuhusu watoto",..? hayo maamuzi yako utaweza kuyasimamia",Au ni msukumo wa hasira tu ""?
 

Mkuu Umeona dhambi ya usaliti...... Ni kama laana haijawaacha Salama kwasababu hata wewe ni mzinifu na mwanamke ukute alijua kabisa umechepuka....so akaamua agongwe na yeye... Dhambi huzaa mauti..... Hapo Nimeinua mikono.... Cha kufanya Achana nao wote, Pambana kimaisha watoto wapate mahitaji muhimu ikiwemo chakula bora, Malazi na Elimu.... Anza upya, Simama Kama mwanaume, don't blame the past.. it's already done u can't change anything Bali Ikufunze na Usirudie Kosa LA ngono zembe na usaliti Achana nao....usaliti ni mbaya sana hata kiroho utakuhunt, mama wa mtoto kaa nae friendly umueleze ulichokiona na mwambie unataka kumove on.... Wote ni wazinifu na hiyo dhambi imezaa utenganisho.
 
Aisee", na nivipi kuhusu watoto",..? hayo maamuzi yako utaweza kuyasimamia",Au ni msukumo wa hasira tu ""?
Nitajitahidi sana,kuhakikisha najidhibiti mwenyewe kwa hali zote,nitapambana kwa nguvu zangu zote kuwajengea watoto wangu kesho yao!
Kwa sasa acha niachane nao wote kabisa!!!
 
Hakika nakubaliana nawe,dhambi imenitafuna sana,na ninatubu kwa dhati kabisa,na kuachana na yote yaliyopita,NITAANZA UPYA KWA TAHADHARI KUBWA kuijenga kesho yangu!

MUNGU WANGU NA ANISAIDIE!!!
 
Nitajitahidi sana,kuhakikisha najidhibiti mwenyewe kwa hali zote,nitapambana kwa nguvu zangu zote kuwajengea watoto wangu kesho yao!
Kwa sasa acha niachane nao wote kabisa!!!
Haya bwana".. kila la kheri" katik huo mwanzo wako mpya
 
Kifupi watu wengi hatuelewi maana halisi ya ndoa..MUNGU atusaidie
 
Mkuu huyu wa Singida sio mwenyeji wa huko,huko anafanya kazi tu!!!

Yeye ni mwenyeji wa Iringa huko!!
Màmaaa yani now nimepata jibu kbs..kumbe ni ndg yng..sasa basi huyo hajakusamehe tangia siku ile uliyomwambia hujampenda, na bado ana kisasi na wewe mpaka siku utakayo muomba msamaha kwa maneno uliyomtamkia 2015..unakijua kinyongo cha wahehe wewe..hayo mambo yote ya kubeba mimba ya 2 alihisi amekukomoa alivyoona bado ndio maana sasa hivi kaamua kutembea na hao wengine 4..yeye kwa akili yake bado anahisi anakukomoa hata km hujui ili mradi tu yeye anahisi hivyo..
Wa Tanga yeye siwezi kumzungumzia sana km anakupenda au Laa!! Ila yeye alikuwa anatafuta pa kufia ukizingatia ana watoto 3 kaona haiwezekani akawa single mother wa watoto 3..hayo kujichinja ana play games tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…