Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Nakutengeneza huyo mbona hajajichinja shingoni??
 
Nitafatilia na watu wa Iringa pia nijue, research inaendelea sitak nijutie baadae
Hahahaaa!!!
Kila la kheri mkuu,japo kwa misingi ya ukabila kum-judge mwanamke wa leo utachemka vibaya sanaaa!
Hata wamasai na wasukuma ambao kwa miaka hiyo watu waliwaamini sana kwa uaminifu,leo wanawaliza watu kwa viwango vya kimataifa!
 
Kwanza inavyoonyesha wewe pia ni muhuni..hupigiwi unacheza,. Na kuna mengi kwenye hayo mahusiano yenu
 
Hahahaaa!!!
Kila la kheri mkuu,japo kwa misingi ya ukabila kum-judge mwanamke wa leo utachemka vibaya sanaaa!
Hata wamasai na wasukuma ambao kwa miaka hiyo watu waliwaamini sana kwa uaminifu,leo wanawaliza watu kwa viwango vya kimataifa!
Bado umri unaruhusu,si vibaya nikiendelea kuwajua japo kwa common behavior mpaka hapo muda wangu utapofika. Unajua kuna baadhi ya sifa/tabia huwezi kuzikuta sehem nyingine mfano inafahamika kuwa wenye ujasiri zaid wa kujinyonga wanatokea mkoa upi, wenye matukio ya kikatili kuzidi wengine wanatokea wapi . vitu kama hivi
 
Dahhh kwahiyo mkuu una Watoto 2 Singida, 1 Tanga( hao wako) na nyongeza huu watoto 2 kwa bi Mdogo. JUMLA una Watoto 5, wake 2 mmoja mpole mmoja suicidal. I bet umri wako hata miaka 40 Bado hujafika

Hongera saba. Wewe ni mtu mwamba
 
Dahhh kwahiyo mkuu una Watoto 2 Singida, 1 Tanga( hao wako) na nyongeza huu watoto 2 kwa bi Mdogo. JUMLA una Watoto 5, wake 2 mmoja mpole mmoja suicidal. I bet umri wako hata miaka 40 Bado hujafika

Hongera saba. Wewe ni mtu mwamba
Hahahaaa!!!
Mkuu unanihesabia watoto 5!!???
Nihesabie watatu bhanaaaa!!
 
upo sahihi
 
ThaGreatman upo sahihi mkuu ila kwa upande wako ulitakiwa huyo mdada uwe umeshampenda ila ndo ivo tena, mzani wa mapenzi haulingani hata ila penzi hukua na kuchanua, shemeji yako wakati tunaanzana mimi ndo nlifall mazima yeye hata, nikawa mvumilivu mpaka sasa ninatembea kifua mbele nasema ananipenda hasa na ili ndoa idumu mpendane mvumiliane wewe huyo dada huwezi mpenda na yeye ameshajua, mwache labda kwenye hao 4 mmoja atakuwa wake.

Kwa hiyo mkuu singida unakula mzigo fresh tu?
 
Tangu nimeona Yale ma SMS sina hata hamu,nimeaingizia naumwa na natumia fake dose,ili ku-mask situation,nacheza na watoto akiwa job,akirejea nakuwa mnyonge siku inapita!

Ikifika kesho kutwa napanda gari naishia zangu!tutaonana kunako majaliwa!!!
 
SUASO na hearly njooni muone uzi wake huu hapa
Mkuu nimeupitia" .. nimebaini kuwa Yeye ndiye chanzo cha hayo matatizo'' huu wakati mgumu anaoupitia" ni majibu ya karma",... wajua alimfanyia ubaya mwanamke wake wakwanza" ... ' kumzalisha mtu" then umwambie kuwa haumtaki tena kisa haumpendi" wakati alishakuwa na matumaini ya kuishi pampas nawe", baada ya wewe kumuaminisha hivyo",sio suala dogo mkuu
 
Mkuu unajitahidi kumtetea mwanamke mwenzako,lakini unajuaje kama nakuwa na hiyo tabia,maana hata mimi nilikuwa namuamini sana na yeye hajui lolote kuhusu mimi kumsaliti!
Kibaya zaidi ni kwamba,jaribio la mimi kuachana na yeye lilikuwa mwaka 2015,ni miaka 3 sasa imepita,amekuwa anakuja Tanga,na tunaishi pasipo kikwazo,na nimejitahidi sana kutomuinyesha kuwa simpendi!!!

Najiuliza imekuwaje awe na mahusiano na wanaume wote hao kwa wakati mmoja???
Je,sio kwamba hiyo ni tabia yake ila sikuwahi kuigundua kwa sababu ya kutomchunguza kabisa!???
Hata kama ni ukame/nyege kutokana na umbali,ndo wanaume wote wanne,ana date nao kwa wakati mmoja!????

Unapataje ujasiri wa kumtetea???
 
kwanza ngoja nikusahihishe ", .. Mimi ni mwanaume mwenzio" na sio ke".... napata ujasiri wa kumtetea " kwakuwa wewe ulishaonyesha kutokuwa na future nae", hata Kama mmekuwa mkiishi pasipo uwepo wa kukosana".. lakini kitendo cha ulichokifanya cha kumwambia kuwa huna future plan na yeye" trust me kimemfanya alipuke zaidi kihisia nakuwa na tabia mbaya zaidi", hata Kama alikuwa na hiyo tabia mbaya awali " amejikuta anazidi kutokomea huko kwenye uovu", baada ya kufikwa na jeraha la moyo
 
Okay,samahani kwa kukupachika jinsia isiyo yako!

Lakini mkuu,tulipo-resolve mgogoro wetu kwa mwaka 2015,tulikubaliana vema kuwa tuendelee na mipango ya kuishi pamoja!
Sikumwambia kuwa sasa sina future naye baada ya mazungumzo yetu,nilikuwa very positive!

Halafu kwa namna yoyote ile,basi angekuwa ana-date na mmoja lakini 4 halafu bado nibebeshwe mimi lawama,HAPANA!!!
Yawezekana alikuwa hivyo tangu zamani,ila sikuweza kujua tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…