Usiombe yakukute jamani, daah!!!

"Ilikuwa ni bahati mbaya kuzaa na mwanamke usiye na hisia nae? Kama sio tamaa na upumbavu wako?
Kwanini hukuja kutuomba ushauri kabla hujafanya huo uzembe wako?
Sasa ushayatinyanga ndo unakuja kulia lia hapa!
Mark my words mtoa mada; " you don't deserve to call yourself a great man for a sort of stupid thing you have done, you are probably a "greedy man"
 
Ooh! Binadamu wa leo wanapenda kutumia kisingizio cha "Mimi ni binadamu sijakamilika" ooh Mara "Ni shetani tu alinipitia" hii yote ni kutaka kuhalalisha upumbavu wenu kwa kigezo cha kutokua wakamilifu wakati mmeshindwa kutumia bongo zenu kufikiri kwa kina kabla hamjafanya maamuzi ya kijinga kama haya.!
Kama ubongo wako ni wa 2GB jitahidi kutafuta ushauri kwa watu waliokuzidi uwezo wa kufikiri kabla hujarudia kufanya upuuzi ka ulioufanya last time!
Good luck
 
umeyakoroga mwenyewe!

Options
1.resign kazi nenda mbali nae
2.Yanywe uliyoyakoroga
 
Aiseee kaka umenipa funzo kubwa sana maana huo mkasa hata mm unanihusu ila cjafikia hatua uliyonayo
 
Wanawake wana roho mbaya sana. Ukiona anakuonyesha wema ujue kuna kitu anakitaka au anakipata
 
Mkuu nimekutaka useme hapa,je,wewe umewahi kuwa na mahusiano na wanawake wangapi mpaka sasa??

Ulipoanza mahusiano ya kimapenzi,uliyeanza naye ndiye mke wako leo? Na baada ya kuingia kwenye mahusiano/ndoa,haujawahi ku date na mwanamke mwingine???

Kama hayo yote ni ndiyo basi nakupongeza kwa dhati kabisa,lakini kama kuna hapana kati ya nayo,basi jua na wewe ni mzembe/mjinga/mpumbavu kama mimi tu!

Tofauti yetu itakuwa moja tu,kwamba mimi nimekutana na mwanamke ambaye sikumtarajia wakati mwenzangu umekuwa kwenye sate side!
 
Ushauri wangu ni kwamba huyo co worker ni Ana wivu kuliko maelezo Sasa muhamishe huyo WA singida AJE hapo tanga na mwwleze ukweli
 
Nipongeze tu mkuu maana the first girl I met and date , the one am in no time going to marry!
Nina mazoea na urafiki wa karibu sana na mchumba wangu tu,huwa siruhusu urafiki na mtoto wa kike coz najua mwisho wake huwa ni kuvuana chupi tu hasa kwa wanaume rijali kama mie[emoji12] [emoji12]
So,ushajua ulifeli wapi mkuu,go on and correct your mistakes!
Jifunze kuridhika na mmoja ulie nae coz mtaka vyote kwa pupa hukosa yote!
Yaani unaruhusu kukaa wawili tu tena "zero distance" na mwanamke asiye mkeo kisha muangalie movie which am sure 100% had a lot of romantic scenes?? Ulitegemea kichwa chako cha juu kikishinde nguvu kichwa chako cha chini? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Brother jaribu kuwa serious ,hivi kweli huwezi kumtambua mwanamke aliyezaa? You must be kidding Bros
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…