Kunywa maji lala, pumzika zako, tulia, utaja kufa kwa pressure bureLast weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Da!!!mwache mgonjwa apatiwe tiba ya kitumbua chake.
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Anadai alikua anatoka maabara kupima akaamua apite kutusalimia ndio kichwa kikamzidia akaomba apumzikeKumleta mfanyakazi mwenzie wa kike aje apumzike chumba chenu cha wageni ni dharau za kiwango cha lami.
Hapo kuna uwezekano wa 99.99% kwamba huyo ni mke mwenzio.
Taratibu za kazi ni kwamba kama unaumwa basi unapewa ruhusa unaenda hospitali kisha ukigundulika unaumwa basi wanakupa ED.
Hiyo ya kumleta aje apumzike sio kweli hapo walikuwa wanajiandaa kulana sema ukawashitukiza.
Unforgetable
New hamida tuliza moyo si unajua ile biringanya ni dawa ? Acha apewe dawaLast weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Moyo unauma jmnNikindika sana nitapoteza maana ya uzi ila ni hivi
Hujakosea kuhisi
Kama hauamini chukua siku ya huyo dada jifanye tu unashida fulani
Usisahau mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi unatumiwa na mabeberu kuleta uvunjifu wa amani.Kumleta mfanyakazi mwenzie wa kike aje apumzike chumba chenu cha wageni ni dharau za kiwango cha lami.
Hapo kuna uwezekano wa 99.99% kwamba huyo ni mke mwenzio.
Taratibu za kazi ni kwamba kama unaumwa basi unapewa ruhusa unaenda hospitali kisha ukigundulika unaumwa basi wanakupa ED.
Hiyo ya kumleta aje apumzike sio kweli hapo walikuwa wanajiandaa kulana sema ukawashitukiza.
Unforgetable
Hahahah..! Wacha ajilie valentine wake[emoji23][emoji23]Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan