Usiombe ukose kazi jamani

Usiombe ukose kazi jamani

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,997
Wandugu maisha ya kubangaiza sio mazuri hata kidogo mtu unaishi maisha ya kubahatisha Tu, jamani tunaiomba serikali na makampuni binafsi mtupatatie ajira, maisha ya mtaani sio Mazuri jamani.

Elimu tunayo!
 
bora ung¨¨fanya mchakato wa kujiajiri kwa kutumia akili yako binafsi na elimu uliyopata darasani.
 
Muombe mungu ndugu, utafanikiwa, wengine pia tumesota hapo kitaa kwa mda hadi milango ilipofunguka

Asante Sana kwa kunitia moyo, mtu ukikosa ajira au kipato cha unakika maisha unayaona magumu kabisa
 
Asante sana kaka mwakibolo toa maelekezo kusaidia vijana kupata ajira na Mungu atakubariki sana
 
Au toa knowledge ya jins wanavyoweza kutumia elimu zao kufanikisha self employment maana hakuna mwanadamu asiye pitia hali hiyo ngumu ya mateso ya ajira japo kunawengine fresh from school straight forward ajira tena zenye masilahi makubwa ukifuatilia wazee wao wana link na viongozi au ni viongozi lakini watoto wawakulima wanapata ajira kwa taabu kama ni mwanaume mapaka atoe pesa kama ni bint duh yaani hapo Mungu aingilie kati....
 
Usikate tamaa kaza acha kulalamika mawazo yakizidi mara moja moja gonga kiaina ngumu aka virongo
 
anold mganga na bushland,
mm hadi kufanikiwa nlikua nshafanya jumla ya aplic. 250, na interview 15, na ni ndani ya mwaka na nusu toka ni graduate sema nlikua nafanya shuguli za ulinzi ili npate hela ya aplication na ya kunweka mjini, so nlikua naingza kama 230000 per month, so tafta kazi yoyote ufanye huku unatafta kazi ya maana ila tatzo la vijana wengi ni mabishoo
 
Hilo neno vijana wanachagua kazi kazI zipo ambazo unaweza ukafanya kwa malengo baadae ukapata kazi huipendayo lakini wao wanataka moja kwa moja wapate kazi nzuri yenye maslahi mazuri halafu wakipata hizo kazi wanajisahau
 
Jaman Mimi nafanya biashara mwanzoni ilikuwa inaenda vizur lakini sasa imeyumba Sana,ndo mana nkaangalia upande kwingine WA shilingi angalau nipate ajira ya uhakika vyeti vyangu visikae bure tu
 
Asante Sana kwa kunitia moyo, mtu ukikosa ajira au kipato cha unakika maisha unayaona magumu kabisa

sitokaa nkisahau hicho kipind ndugu yang nimekipitia najua labda mola alitak nionyesha watu wa kwel kwa upande wang. Nliona kila tabia ya aliyekuw mke wang ilinifanya nakaa mbal sasa na mwanang kipenz. roho huniumaga sana nkimkumbuka japo namwona kwa mara chache sana yan SHIDA HAINA ADABU nauchkia sana umaskin.
 
Au toa knowledge ya jins wanavyoweza kutumia elimu zao kufanikisha self employment maana hakuna mwanadamu asiye pitia hali hiyo ngumu ya mateso ya ajira japo kunawengine fresh from school straight forward ajira tena zenye masilahi makubwa ukifuatilia wazee wao wana link na viongozi au ni viongozi lakini watoto wawakulima wanapata ajira kwa taabu kama ni mwanaume mapaka atoe pesa kama ni bint duh yaani hapo Mungu aingilie kati....
Mkuu kwani umesoma kozi gani?...maana kwanza angalia ulichokisomea hapo unaweza fanya vitu vingi sana, mfano kama umesomea masoko unaweza kuja na strategy nzuri ya kuboresha masoko au wewe mwenyewe ukaingia field kujishughulisha na masoko, kama umetoka bush mazao ndo mengi unaweza tafuta watu wasiofika vijijini na wa mjini kufanya shughuli za masoko, kama umesoma sheria elimisha watu juu ya haki zao either kibiashara, saidia watu katika mashauri waliyo nayo, kama umesoma I.T fikiria jinsi gani I.T inaweza boresha biashara za watu lakini sio swala la kutengeneza inventory maana kuna inventory nyingi ambazo ni overpriced na haziko realistic, luna vitu vingi sana vya kufanya mind you lazima ukubali kuanza chini, kupata hela kidogo na saa zingine kukosa kabisa akili yako ikiwa hivyo mbona utafanikiwa tu kuajiriwa hakuna dili ila kama unaona kuajiriwa kutakutoa basi tafuta namna ambayo itakavyo weza kufanikisha ndoto yako
 
Back
Top Bottom