Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Ukiona hadi umefikia hatua ya kusoma vitabu na kukesha social media kujifunza ni jinsi gani inakupasa au utumie njia gani kumpenda mkeo ujue unahitaji operation ya Moyo wahi india fasta




mke nae anaitaji profeshinalizm doh!!, tutakufa bdo wadgoMkuu....Ukiona hadi umefikia hatua ya kusoma vitabu na kukesha social media kujifunza ni jinsi gani inakupasa au utumie njia gani kumpenda mkeo ujue unahitaji operation ya Moyo wahi india fasta![]()
kim pyong yang umegonga modo,da umetokelezea!Duh sawa mkuu tumekusoma
😀😀😀 comment imenifanya nicheke maana imenifanya nirudi kuangalia avatar ya mr kim pyong yang ila kapendezaaakim pyong yang umegonga modo,da umetokelezea!