Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Kuna ukweli ndani yake. Naona mfano kwa wife wangu.
Pata pesa tujue tabia yako
kazi zote huathiri wahusika......ndo maana hata walimu sometimes huwa kama watoto
sababu ya kushinda kutwa na watoto
maaskari magereza nao tabia ka za wafungwa sometimes