Usiombe likukute..!

Usiombe likukute..!

Bahari ungemchapa kingine angefika cha tatu na fahamu zingerudi akiwa Duniani au ahera 😆😆😆
 
Chura matata kazimia na mimba yake?! Nasubiri next episode ya simulizi zako
 
Unamuachaje arudi nyumbani ktk hali ya hatari iliyomkumba muda mfupi nyuma.... ingekuwa bora alale au umsindikize hadi uhakikisha kafunguliwa mlango ndo ingekuwa umefanya kazi yako kamili
 
Unamuachaje arudi nyumbani ktk hali ya hatari iliyomkumba muda mfupi nyuma.... ingekuwa bora alale au umsindikize hadi uhakikisha kafunguliwa mlango ndo ingekuwa umefanya kazi yako kamili
Mkuu,kuna ule usemi 'mkutwa na ngozi ndio aliyekula nyama'
 
Back
Top Bottom