Usiombe kukutana na viumbe hawa

usiogope... sura tu hizo mkuu zimekaa kikazi zaidi
 
Mhhh huyo askal wa kenya nin maana ndo wana roho za ukatili af pia sura zao ndo hiz
 
hawa ndo wanasababisha mbunge fulani alalamike kwamba jimboni kwake wanaume wanashindwa kuoa wake wazuri sababu ya hawa viumbe!
 
Hao ndio wasoja sasa,sio kama wale wanaopaka poda sura laini zaidi ya paja la mtoto wa geti Kali,huyo akikuangalia tu wallet inadondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…