MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Habari wakuu,
Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu, kila nikimuuliza huyo binti nikimchukua unaonaje? Utasikia huyo nimetembea naye.
Yaani kila ninayemuulizia utasikia jibu hilo hilo mpaka nikaamua kurudi gesti, nikamdanganya naenda kuoga, kumbe alikuwa kaniboa, nikaenda kuoga, nikahamia baa nyingine nikachukua demu.
Mimi kwa kawaida nikimchukua demu basi ni siku zote mpaka niondoke. Kama ningemsikiliza yule mwenyeji wangu maisha ya Babati ningeyaona magumu sana.