G gudboy-5326 Member Joined Nov 7, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Nov 9, 2011 #1 ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake
ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Nov 10, 2011 #2 Unapenda vya dezo nn ?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,927 Reaction score 1,160 Nov 10, 2011 #3 gudboy-5326 said: ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake Click to expand... Usichokoze Vita vya mawe wakati unaishi ktk nyumba.
gudboy-5326 said: ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake Click to expand... Usichokoze Vita vya mawe wakati unaishi ktk nyumba.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Nov 10, 2011 #4 Likwanda said: Usichokoze Vita vya mawe wakati unaishi ktk nyumba. Click to expand... ya vioo ! Utajuta kuwa mwanaume!
Likwanda said: Usichokoze Vita vya mawe wakati unaishi ktk nyumba. Click to expand... ya vioo ! Utajuta kuwa mwanaume!
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,725 Nov 10, 2011 #5 Mh, kama ni kilaza lazima waku-Cameroon
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Nov 10, 2011 #6 Bishop Hiluka said: Mh, kama ni kilaza lazima waku-Cameroon Click to expand... teh teh teh
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,156 Reaction score 95,884 Nov 10, 2011 #7 Ukikua utaacha mawazo ya kimasaburi na kikameroon
Bundewe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 400 Reaction score 141 Nov 10, 2011 #8 gudboy-5326 said: ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake Click to expand... Kwani kama hajakugundua kumnyokoa huyo binti yake ange/ungefanya nini? Sijaelewa connection ya pepa kukugonga na lecturer kugundua kumnyokoa binti
gudboy-5326 said: ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake Click to expand... Kwani kama hajakugundua kumnyokoa huyo binti yake ange/ungefanya nini? Sijaelewa connection ya pepa kukugonga na lecturer kugundua kumnyokoa binti
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Nov 10, 2011 #9 gudboy-5326 said: ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake Click to expand... halafu pepa yenyewe ni carry over..
gudboy-5326 said: ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake Click to expand... halafu pepa yenyewe ni carry over..
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,652 Reaction score 7,137 Nov 10, 2011 #10 Jamaa ni kilaza,sasa alikuwa anataka kutazamia na kucheat.sasa anajua akikamatwa kafa.Ukweli tegemea akili zako Mtihani utatazamia je kazini utagezea wapi?
Jamaa ni kilaza,sasa alikuwa anataka kutazamia na kucheat.sasa anajua akikamatwa kafa.Ukweli tegemea akili zako Mtihani utatazamia je kazini utagezea wapi?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Nov 10, 2011 #11 Bishop Hiluka said: Mh, kama ni kilaza lazima waku-Cameroon Click to expand... hata ka unajiweza wakiamua kukukameruni wanakukameruni tu
Bishop Hiluka said: Mh, kama ni kilaza lazima waku-Cameroon Click to expand... hata ka unajiweza wakiamua kukukameruni wanakukameruni tu