mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Mkuu nani kakuvuruga kiasi hiko, nipe ABCDogo we oa tu ila baadae usije na machozi hapa![]()

Mkuu nani kakuvuruga kiasi hiko, nipe ABCDogo we oa tu ila baadae usije na machozi hapa![]()

Muiraq yaani Mmbulu sio?
Ukipata msichana akawa ni mnyakusa mwalimu usioe
Naomba kukazia hapa USIOE TENA KIMBIAAAAA
Mi nasukumakizazi chake mara kadhaa nasepa.kwani Msukumakizazi anasemaje??
Mkuu umentonesha kidondaUkiona msichana anakuja kwako anakula halafu vyombo vichafu uoshe ww my friend usioe!!!

kunalimanzi hapa nlipopanga anadoto wake yeye ni kulwa.... Alinambia anataka nimuowe ananipenda sana..... Sas one day mnyam nkakaa kwenye jiko nkaivisha vyakura kidogo..... Kikaiva nkamp akaend kulia kwa ndugu yake..... NashangAA Ananludishia vyombo vichafu



Mkuu umentonesha kidondakunalimanzi hapa nlipopanga anadoto wake yeye ni kulwa.... Alinambia anataka nimuowe ananipenda sana..... Sas one day mnyam nkakaa kwenye jiko nkaivisha vyakura kidogo..... Kikaiva nkamp akaend kulia kwa ndugu yake..... NashangAA Ananludishia vyombo vichafu
![]()
SIOWI
Eee? Umesema?Ukipata msichana akawa ni mnyakusa mwalimu usioe

Duh!? sa anakua kapata wapiMsichana uliyemuomba no ya simu lkn baada ya kumpa kisogo tu ukigeuka akakutumia SMS ya "Tafadhali niongezee hela" USIOE...![]()



Kuna kabint hv tulibadilishana phone number baada ya dk 5 nikachek sms kame nitumia pesaMsichana uliyemuomba no ya simu lkn baada ya kumpa kisogo tu ukigeuka akakutumia SMS ya "Tafadhali niongezee hela" USIOE...![]()