EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Sijasema usioe mwanamke anayependa pesa bali usioe haraka mwanamke anayependa pesa.
Kwanini
Kwasababu baadaye atakusumbua Sana.
Kama unampenda mpe muda wa kubadilika anaweza kubadilika mimi naamini wanadamu wanabadilika.
Hivyo mpe muda huku ukitengeza modo ya kumzoeza kuishi bila kutegemea pesa zako. Mwisho wa siku atazoea tu.
Ni hayo tu.