Mwanaume MASHINE
Senior Member
- Jun 14, 2017
- 172
- 326
Mbwa ni mbwa ata umpe jina,tuishi nao kwa akiliWana uwezo mkubwa sana wa kujifanya wameacha tabia zao za kuuza nanihii, lakini ukweli ni kwamba hawa watu wameshaathirika kisaikolojia hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja, hata umpe nini akipata upenyo tu lazima acheat, Kama umeoa bar maid na huamini nisemayo weka mitego utamnasa tu,ni afadhali uoe changudoa kuliko bar maid.