ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
- Thread starter
- #21
Mwanzoni hawapendi mwishoni wanakuwa wamezoea, mwili unataka umeota suguAcha uongo!wanabadilika!kwani unazani wanapenda kugawa punye?
Mwanzoni hawapendi mwishoni wanakuwa wamezoea, mwili unataka umeota suguAcha uongo!wanabadilika!kwani unazani wanapenda kugawa punye?
True.Wanapiga kweli, ila siwalaumu huwezi ukamchukua mke wa jumuiya na kumfanya mke wako peke yako.
Unawajua tu hujawachunguza oa uonewanabadilika mbona nawajua kama 20 wana mini zao na watoto wengine na wajukuu kabisa
haaaaaaaaaaa nimecheka jamanChangudoa na barmaid ni hao hao tu. Mmoja ni kibua, mwingine tasi. Wote ni samaki wa maji chumvi.
Mi nimeoa mkuu na kabadilika![]()
Hapo tofauti iko wapi? Hata changudoa anaweza kuwa na namba za simu za wateja wake. Kuna barmaid ambao akimaliza kazi huenda kujiuza to make ends meet.Ipo tofauti kati ya samaki maji chumvi na baridi,changudoa hana mtu wa kudumu naye yeyote aliyeko mbali yake halali yake, lakini bar maid ana wateja wa kudumu na namba za simu
Hajui huyo mwambieumhhh.. mja haachi asili yake...
Ni kweli, ila akishafanya hivyo kwa muda mrefu mwili unazoea kufanya mambo yale na wanaume tofauti tofauti, kuolewa kwake ni Kama kuwekwa kizuizini hata kama utampa mahitaji yote.Wengine wanaifanya hiyo kazi (barmaid) kwa shida tu kiasi kwamba akipata mme anabadilika na kuwa mke mzuri. Wawezaoa ambaye hakuwa barmaid wala changudoa lakini akawa mwepesi wa kuacha "njia kuu"!
Sasa bora yupi changudoa, bar maid na bar maid changudoa?Hapo tofauti iko wapi? Hata changudoa anaweza kuwa na namba za simu za wateja wake. Kuna barmaid ambao akimaliza kazi huenda kujiuza to make ends meet.
Mkuu, hamna tofauti hapo. Ni hao hao tu.Sasa bora yupi changudoa, bar maid na bar maid changudoa?
Mimi naona afadhali kidogo changudoa, mabar maid utasikia alikuwa mfadhili wangu Yule siwezi kumwacha,hata kama ana mume.Mkuu, hamna tofauti hapo. Ni hao hao tu.
Sasa huyo hata aolewe na Dangote atachepuka tuHapa rombo deluxe kaloleni Arusha kuna bar maid mbulu anagawa uchi hadi kwa wateja wa vyumbani
mkubwaOK mkuu ila hawafai kuoa, pigia hapohapo ondokaMkuu, hamna tofauti hapo. Ni hao hao tu.
pole mkuu kwa kugongewaMi nimeoa mkuu na kabadilika![]()
Uko sahihi 100%Bar maid na wale wa kwny massage achana nao kbs
Mi nimeoa mkuu na kabadilika![]()