Usioe bar maid ukitegemea atabadilika

Usioe bar maid ukitegemea atabadilika

Wana uwezo mkubwa sana wa kujifanya wameacha tabia zao za kuuza nanihii, lakini ukweli ni kwamba hawa watu wameshaathirika kisaikolojia hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja, hata umpe nini akipata upenyo tu lazima acheat, Kama umeoa bar maid na huamini nisemayo weka mitego utamnasa tu,ni afadhali uoe changudoa kuliko bar maid.

Sio hao tu, bali hata wale wenye maisha yanayofanana na hao wakiwepo changudoa na wale walioishi maisha magumu na wakajeruhiwa.
 
add0ef4181b0d8d258a4b1576dafbdbd.jpg
135ff479c6124717d8d627b100708b42.jpg
hii miguu au mikono
Weka picha kubwa basi hata iishie kwenye Ile tabia nzuri ya ki siku hizi
 
Mtu aliyezoea kitabia fulani huwa hawezi kuacha kabisa. Ila atabadili namna ya kufanya ile kukuhadaa kuwa ameacha. Kati ya upumbavu wa first class ni kuoa bar maid,kahaba,wale wa massage na wale wa forever living.
 
Hubadilika hao watu jamani,mtaani kwangu kuna wawili wameolewa,wapo vizuri wanaendelea na familia zao
 
Hubadilika hao watu jamani,mtaani kwangu kuna wawili wameolewa,wapo vizuri wanaendelea na familia zao
Huwa wanaigiza sana kubadilika ,ila wakikutana na wateja wao wa zamani katika mazingira rafiki kwao wanatoa dozi.
 
Na katika hili me ni shuhuda kupitia Kwa Jirani yangu.Ni hatari sn
 
Huwa wanaigiza sana kubadilika ,ila wakikutana na wateja wao wa zamani katika mazingira rafiki kwao wanatoa dozi.
Ni kweli,kinachobaki ni kwa mwanaume husika kusimama kama Mme,hapa ni kwa kutoa ushauri kwa mke wake na pia kumpa wosia wa jinsi jamii inavyomchukulia,kwamba kwa kuonyesha kwake kubadilika,jamii itampenda na kuamini kama yote yanawezekana kumbe,Tabia hubadilika,sio asili hiyo!!
 
Huyu Mama Kanisa sijui alishawahi kuwa Barmaid!!
 
Back
Top Bottom