Upendo ni kitu gani?
Fanyeni maisha (kuzaa na kulea/kujenga future ya kizazi chenu).
Mnakutana mtu amezaliwa Nanjilinji na wewe wa Ihayabuyaga ukubwani mnafikiri mtaishi kwa amani wakati tamaduni, mila, desturi, malezi ni tofauti?
Amueni tu kutafuta uzao na kuuwekea mazingira mazuri. Mkifuatiliana sana mtatoboana macho na kung'oana meno au kupigana risasi au kukatana pumbu.
Yeah kuna iliyopo Geita na nyingine najua iko Sengerema huko kama unaenda Mwanza. Sijui nyingineHuo ndo ukweli.
Mkuu unapafahamu Ihayabuyaga?
Umesahau kuchomana na gunia la mkaaUpendo ni kitu gani?
Fanyeni maisha (kuzaa na kulea/kujenga future ya kizazi chenu).
Mnakutana mtu amezaliwa Nanjilinji na wewe wa Ihayabuyaga ukubwani mnafikiri mtaishi kwa amani wakati tamaduni, mila, desturi, malezi ni tofauti?
Amueni tu kutafuta uzao na kuuwekea mazingira mazuri. Mkifuatiliana sana mtatoboana macho na kung'oana meno au kupigana risasi au kukatana pumbu.
Mkuu Ihayabuyaga imekukosea niniUpendo ni kitu gani?
Fanyeni maisha (kuzaa na kulea/kujenga future ya kizazi chenu).
Mnakutana mtu amezaliwa Nanjilinji na wewe wa Ihayabuyaga ukubwani mnafikiri mtaishi kwa amani wakati tamaduni, mila, desturi, malezi ni tofauti?
Amueni tu kutafuta uzao na kuuwekea mazingira mazuri. Mkifuatiliana sana mtatoboana macho na kung'oana meno au kupigana risasi au kukatana pumbu.
Vigezo Ni Vile Vile Tu Kama Alivyosema Mtume Muhammad Swallah Llahu Alayhi WasallamNiseme nisiseme?
Tega sikio.
Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa.
Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu.
Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika. Ukiingia kwenye ndoa kwa lengo la kupumzika (hapa wanawake wengi hujidanganya) ujue utakuwa mzigo kwa mwenzi wako.
Hata suala la uaminifu kuna muda sio kipaumbele, inabidi kukubali ukweli kuwa sio rahisi kuwa wa pekee yako…. kikubwa heshima na mambo yanaenda.
Ncha Kali…[emoji1614]
Umeiweka vizuri sana. Wanawake wengi (sio wote) wamejaza akili zao vitu vya kusadikika ambavyo wanaviona mtandaoni. Ukweli uliousema ni machungu japo wengi wataandika mambo yao ya kusadikika, Bible that , Quran this.Niseme nisiseme?
Tega sikio.
Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa.
Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu.
Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika. Ukiingia kwenye ndoa kwa lengo la kupumzika (hapa wanawake wengi hujidanganya) ujue utakuwa mzigo kwa mwenzi wako.
Hata suala la uaminifu kuna muda sio kipaumbele, inabidi kukubali ukweli kuwa sio rahisi kuwa wa pekee yako…. kikubwa heshima na mambo yanaenda.
Ncha Kali…[emoji1614]
mmh kuna jambo unajaribu kulihalalisha ili tukuunge mkono kitu ambacho hakiiwezekani, unatupotoshaNiseme nisiseme?
Tega sikio.
Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa.
Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu.
Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika. Ukiingia kwenye ndoa kwa lengo la kupumzika (hapa wanawake wengi hujidanganya) ujue utakuwa mzigo kwa mwenzi wako.
Hata suala la uaminifu kuna muda sio kipaumbele, inabidi kukubali ukweli kuwa sio rahisi kuwa wa pekee yako…. kikubwa heshima na mambo yanaenda.
Ncha Kali…[emoji1614]
Wewe una point ila huelewi uiandike Namna gani. Unachanganya mafile kinomaNiseme nisiseme?
Tega sikio.
Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa.
Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu.
Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika. Ukiingia kwenye ndoa kwa lengo la kupumzika (hapa wanawake wengi hujidanganya) ujue utakuwa mzigo kwa mwenzi wako.
Hata suala la uaminifu kuna muda sio kipaumbele, inabidi kukubali ukweli kuwa sio rahisi kuwa wa pekee yako…. kikubwa heshima na mambo yanaenda.
Ncha Kali…[emoji1614]
Mzee wa Nanjirinji kilwa,umenena vyema sana,,niukweli usiopingika kwamba ktk mahusiano more especially ndoa maswala ya malezi,mila nadesturi na mitazamo juu ya maswala mbalimbali vinahusika san kufanya ndoa isonge mbele au iwe ndoano... Mfano watu wapwani mitazamo yao juu yandoa nitofauti kabisa nawatu pengine kutoka kanda ya ziwa,hii inatokana na jinsi mila nadesturi juu yandoa yalivyo.Upendo ni kitu gani?
Fanyeni maisha (kuzaa na kulea/kujenga future ya kizazi chenu).
Mnakutana mtu amezaliwa Nanjilinji na wewe wa Ihayabuyaga ukubwani mnafikiri mtaishi kwa amani wakati tamaduni, mila, desturi, malezi ni tofauti?
Amueni tu kutafuta uzao na kuuwekea mazingira mazuri. Mkifuatiliana sana mtatoboana macho na kung'oana meno au kupigana risasi au kukatana pumbu.
Mkuu naungana naww ,hakika endapo mmoja kati yawahusika ktk ndoa asipojitahidi kutekeleza majukumu yake hugeuka mzigo kwa mwenzie nakufanya ndoa kua ndoano.ndoani hakika sio sehemu kupumzika nakutegmea mwenzio akutendee tu ww uwe mpokeaji, naona nikaburini tu yani.Niseme nisiseme?