Changamoto za mfumo wa upumuaji (asthma, mafua, kikohozi)
Kisukari
Kuongeza kinga za mwili
Homa ya ini
Kuondoa sumu mwilini
Arthritis
Saratani na maradhi mengine sugu
MAELEZO YA KISAYANSI:
Mmea huu unajulikana kitaalamu kama Artemisia annua, unaotumika kutengeneza dawa maarufu kama Coartem na Lumartem. Dawa hizi hutokana na kiambato cha Artemisinin, kinachopatikana kwenye mmea huu na kuunganishwa na Lumefantrine ili kutibu malaria.
Hata bila kutenganishwa kemikali hiyo, mmea huu bado una uwezo mkubwa wa kutibu malaria na homa kali.
MATUMIZI KWA MALARIA:
1. Chukua gramu 100 za majani makavu ya Pakanga
2. Chemsha kwenye maji lita 1 na robo, hadi yabaki lita 1
3. Tumia vikombe viwili vya kahawa kwa siku mara 2 kwa siku 3 mfululizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.