Usiniulize swali...just sing along!

Ujue wewe ni Mentor wangu....nimekuwa nikiamini kuwa u have superhuman powers.....
Nitafute tuongee over a cup of coffee.......mekumiss.....

Elizabeth Dominic...I am kamiiiiiiiiiiiiiing!

.....Ramadhan ikiisha ntavuka ngambo ya pili

btw unichekesha hapo kwa mzee wa new world

Naomba mualiko wa Idd pilli...!

Kama ni yule wa Mwanza nafikiri huo ni uamuzi sahihi afande.Mapenzi ni hatari sana,hayajali kama umepitia depo wala mafunzo ya ukomandoo.All the best.

iAhaha ndo huyo huyo mkuu! Mapenzi hata uwe Brigedia

kama vile nkimaliza, moyo utatulia,
kumbe najiliwaza, maumivu yaendelea,
mapenzi mwili wa pweza, huwezi kuyaelewa.

Mapi, kwa sasa ni kweli nahisi kama sitoacha kumpenda...but kama mtu mzima i know, 'this too shall pass'

Somethings in life are so difficult to explain,am sorry...

Love needs no explanations darling...it just is! #thanksAnyway

Wii hulali tu au shemeji Mentor yupo lindo kwa waziri?

Nimeshaacha upolisi shemeji Khantwe
 
Last edited by a moderator:

Heee umeacha lini my dia shemeji?
 
Last edited by a moderator:
kwasasa utaogopa kugusa maana mikono bado haijapoa, kadri unavyosubiri mikono itakufa ganzi na ndio mwisho wa wewe kushika tena. ukifanikiwa kushika kila sufuria laweza kuwa halali yako maana hutaogopa tena kuungua

vidonda vya mapenzi, vinatibika kwa mapenzi tu.
 
Ooh hongera shemeji..

Nitakupa lift shem wangu wa ukweh!!!


Cc: badiebey:A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…