Usiniulize swali...just sing along!



Tatizo lako Shemeji Yangu huishi kupiga story na Mke wangu Khantwe tena mnajificha!

Yani hapo tu Ndio shida!
 
Last edited by a moderator:
ICHANA na wewe umetokea Wapi mpk ukathubutu kumpiga mkwara Mke wangu Khantwe ??

Unamuona Khantwe anaziki na mme sio? Wewe unabahati tu mwallu ni dada yngu! Vinginevyo pangekua hapatoshi hapa!

Ha ha ha taratibuuu lait ungejua uhusiano na ukaribu wa mm na mkeo Khantwe
mbona ungenishukuru mm na mwalu.
 
Last edited by a moderator:
Hebu ongea taratibu asisikie mwallu....kwani kibabu kile kimesema kinanipenda bado?

Kibabu kinakupenda bdo
Jana alikuwa analia juu yko mtaa wa pili anasema atakuhonga hela yake yoote ya mafao ya uzeeni
Naona ugoro umekolea amelala now
Jion utamwona na fujo zake Asprin cum thizi way wizout parking anywere
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo utafute na uhakikishe unashinda .
miss chagga dadangu, this I promise you!


I guess I have my mind made up bro...I will stick with Gayle's I will get over you...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha
Sasa unaanza kujua sababu ni nn eeeeh



Wewe Ndio ujue sababu sio mimi! Km mnashindwa kuwatuliza waume zenu ndo mje mumlau Mke wangu?

Mbona Mimi Khantwe kanituliza?
 
Last edited by a moderator:
miss chagga dadangu, this I promise you!



I guess I have my mind made up bro...I will stick with Gayle's I will get over you...

Ukiona umenyaganywa mmoja wewe nyaganya wawili weka kwenye mchujo lazima uwe mshindi
 
Last edited by a moderator:
haha ninalo basi nakuona unataka kumfanya khantwe mpango wa kando

Walaaaaaaa huyo ni Nkwela wangu!

Hahahaaaa na kule chimbo siku ile?

Km asingetokea mwallu si mgezima taa?

sometimes huwa tunapendaga tu kupiga stori wenyewe sema ndo ivo wapambe nuksi hawachoki kutuzushia maneno!

Ukiona umenyaganywa mmoja wewe nyaganya wawili weka kwenye mchujo lazima uwe mshindi

heee basi nshapitiliza, kwa sasa wamebaki wanne! walikuwa watano ndo huyu mmoja kaniponyoka!

Wanazimaga kila mara

Mke wangu weeeeeee....nakupenda anyway!
 
Kweli.....tusimuachie

mweleze kaka yako Ntuzu ajue jinsi gani unavyoipenda ndoa yake na umekuwa wewe ndio mhilmili....

uliokoa ile siku Khantwe alikuwaa ashaanza kula kucha na kusugua miguu tuu na alikuwa uchochoroni na kigiza kilikuwepo
 
Last edited by a moderator:

Embu maintain hao kwanza akiponyoka mwingine we.chukua watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…