Mentor, wewe ni fundi kama sheikh Kipozeo
aiseee!
Hmmm. Broken ties somewhere. A broken heart picking the pieces and moving on. Good luck.
Mavitus kama haya yapostiwe J3 mapemaaaa ili yatusafishie wiki
headphones on...am singing along...(in past tense)
Aise Mentor bora tuu hujaeleza kisa na hutaki maswali
Most of time unaumia wewe tu
A broken heart picking its pieces and moving on.
Penzi ni kama kiti cha basi la Mbagala...
Ukishuka tu walio pembeni wakigombania na samtaimz inabidi kushea siti moja...
Aaah hii lugha ya malaika na mimi mbalimbali
Single again but now with experience
Shemeji Khantwe mimi na wewe tunasaidiana. Nitafute nikutafsirie.
Nakala kwa mumeo na shemeji yangu: Ntuzu
Mke wangu kipenzi: mwallu
Mawifi zako wenye gubu: Honey Faith, miss neddy na ICHANA
Mke mwenzio: miss chagga
...u r right again!
Halafu jina lako kama la mwanetu na Vaislay!