Mimi kuna thread niliianzisha na kuweka hiyo picha ya JK kusinzia ktk hafla,vikao na tafrija. Mods fasta wakaifuta thread yangu. Nawe jiandae kwa thread yako kufutwa na mods.
Inaonekana mods hawaitaki hiyo picha ipate mauzo humu JF..
Mi naona alikuwa anawaza safari ya uchina akai siku ngapi na akitoka aelekee nchi gani maana kama mtalii lakini sijawahi kusikia kaenda pemba kula haluwa na bokoboko na madoriyani au ndo safari yake ya mwisho itakuwa ya kuwa aga wapemba