Usinipe lawama chidbenz ft matonya

Usinipe lawama chidbenz ft matonya

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,934
Huu wimbo uwa hauchuji masikion mwangu kwangu ni kati ya nyimbo nzuri zenye ujumbe wenye hisia ukiachilia mbali hayakuwa mapenzi wa sugu.
Kipindi unatoka chid alikuwa chini ya jagged records iliyokuwa studio ya jay d na gardner.
Ila ningependa kujua ni nani alikuwa mtayarishaji wa wimbo huu
 
Umenikumbusha mbali, ni bonge moja la songi. Nikiusikiliza naamini kweli kuna kupanda na kushuka, chidi huyu sio yule kabisa. Anyway tulipata ujumbe na burudani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom