Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Oct 18, 2017 #1 Hilo swala nimeamua kulileta kwenu kuhusu User Name yangu. Kujiita zero IQ haimaanishi kwamba Niko zero Brain au empty kabisa. Don't judge for my user Name eti ni kwa sababu ni Zero IQ . Unaweza kujiita Genious by user Name lakini uko Empty kichwani na hakuna chochote unachokijua.! Kujiita Dr haimanishi kwamba wewe ni tabibu unaweza kujiita Dr ata kama wewe ni house maid. Don't judge for my User name jina langu lina maana kubwa sana zaidi ya ufikiliavyo. Call me Zero IQ.!
Hilo swala nimeamua kulileta kwenu kuhusu User Name yangu. Kujiita zero IQ haimaanishi kwamba Niko zero Brain au empty kabisa. Don't judge for my user Name eti ni kwa sababu ni Zero IQ . Unaweza kujiita Genious by user Name lakini uko Empty kichwani na hakuna chochote unachokijua.! Kujiita Dr haimanishi kwamba wewe ni tabibu unaweza kujiita Dr ata kama wewe ni house maid. Don't judge for my User name jina langu lina maana kubwa sana zaidi ya ufikiliavyo. Call me Zero IQ.!
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Oct 18, 2017 #2 Naona umeungana na jingalao
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,293 Oct 18, 2017 #3 Mkuu jina la mtu huwa linatoa taswira ya mtu alivyo ni mara chache sana kupona ila kwa wewe mule mule
Mkuu jina la mtu huwa linatoa taswira ya mtu alivyo ni mara chache sana kupona ila kwa wewe mule mule
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Oct 18, 2017 Thread starter #4 radika said: Mkuu jina la mtu huwa linatoa taswira ya mtu alivyo ni mara chache sana kupona ila kwa wewe mule mule Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema Avator yako inarelate na wewe mwenyewe mkuu?
radika said: Mkuu jina la mtu huwa linatoa taswira ya mtu alivyo ni mara chache sana kupona ila kwa wewe mule mule Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema Avator yako inarelate na wewe mwenyewe mkuu?
popoma JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 2,378 Reaction score 3,363 Oct 18, 2017 #5 The same to popoma.
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,779 Reaction score 13,704 Oct 18, 2017 #6 Mambo ya avatar hayo Tz bana ina mambo mazur sana
E Englishlady JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 2,734 Reaction score 3,655 Oct 18, 2017 #7 Ha ha ha jina lina akisi tabia.. ndio maana wakristu tumekatazwa kuwaita watoto majina ya ajabuajabu... Jitahidi kubadili username tu
Ha ha ha jina lina akisi tabia.. ndio maana wakristu tumekatazwa kuwaita watoto majina ya ajabuajabu... Jitahidi kubadili username tu
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,293 Oct 18, 2017 #8 Zero IQ said: Kwa hiyo unataka kusema Avator yako inarelate na wewe mwenyewe mkuu? Click to expand... Akili nyingi sana mimi, mcheki mwenzio jingalao,lizabon na zero iq yani mule mule 100% hamjatoka nje ya mlivyo
Zero IQ said: Kwa hiyo unataka kusema Avator yako inarelate na wewe mwenyewe mkuu? Click to expand... Akili nyingi sana mimi, mcheki mwenzio jingalao,lizabon na zero iq yani mule mule 100% hamjatoka nje ya mlivyo
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,293 Oct 18, 2017 #9 Magufuli,Matatizo,mawazo,shida, tusekile
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Oct 18, 2017 Thread starter #10 Englishlady said: Ha ha ha jina lina akisi tabia.. ndio maana wakristu tumekatazwa kuwaita watoto majina ya ajabuajabu... Jitahidi kubadili username tu Click to expand... Kubadili jina langu ni vigumu mkuu na hauwezi kunishawishi kuhusu hilo ata kidogo.
Englishlady said: Ha ha ha jina lina akisi tabia.. ndio maana wakristu tumekatazwa kuwaita watoto majina ya ajabuajabu... Jitahidi kubadili username tu Click to expand... Kubadili jina langu ni vigumu mkuu na hauwezi kunishawishi kuhusu hilo ata kidogo.
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,214 Oct 18, 2017 #11 The saying "give a dog a bad name and kill it"
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Oct 18, 2017 Thread starter #12 radika said: Akili nyingi sana mimi, mcheki mwenzio jingalao,lizabon na zero iq yani mule mule 100% hamjatoka nje ya mlivyo Click to expand... Mkuu tafadhari sipo kwenye hiyo list Refer post zangu kama zinaendana na post za hao unaowataja
radika said: Akili nyingi sana mimi, mcheki mwenzio jingalao,lizabon na zero iq yani mule mule 100% hamjatoka nje ya mlivyo Click to expand... Mkuu tafadhari sipo kwenye hiyo list Refer post zangu kama zinaendana na post za hao unaowataja
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,490 Reaction score 8,305 Oct 18, 2017 #13 Tumekusoma mkuu,usijali. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Oct 18, 2017 #14 Mimi ni judge hamna neno. Sote ni ndugu
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,133 Reaction score 3,401 Oct 18, 2017 #15 Haya zero brain tumekuelewa
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,133 Reaction score 3,401 Oct 18, 2017 #16 Awazavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Oct 18, 2017 #17 Muuza nchi said: Haya zero brain tumekuelewa Click to expand... Hahahahaha Umeambiwa jina lina akisi tabia
Muuza nchi said: Haya zero brain tumekuelewa Click to expand... Hahahahaha Umeambiwa jina lina akisi tabia
alexelias JF-Expert Member Joined Sep 1, 2017 Posts 2,032 Reaction score 3,198 Oct 18, 2017 #18 Kichwa Kichafu said: Mimi ni judge hamna neno. Sote ni ndugu Click to expand... a.k.a. mzungu...hahahaha!
Kichwa Kichafu said: Mimi ni judge hamna neno. Sote ni ndugu Click to expand... a.k.a. mzungu...hahahaha!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Oct 18, 2017 #19 Umepanic mkuu
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,869 Reaction score 11,486 Oct 18, 2017 #20 Bashite IQ